Jamani sijui nitakuwa nimeenda nje ya thread hii lakini naomba kujua kitu kimoja ambacho kimekuwa kikinitatiza sana ukienda kununua dawa katika duka la dawa hususani zile wanazoweka katika vi mfuko vya kaki au vya plastiki kama panadol unakuta baadhi ya wauzaji wameweka kijikaratasi...
Inaumiza sana lakini naamini iko siku atakukumbuka tu nawe utakuwa umeshasahau na bila shaka utakuwa umepata mwingine itakuwa zamu yake kuumia na kujuta ,mara nyingi inatokea hivyo kwavile yeye kaanza we maliza kabisa yaani m delete kabisa katika kumbukumbu yako kila la kheri!
Jamani kipi bora, safari ihairishwe ili yafanyike marekebisho au safari iwepo halafu ukapate matatizo ukiwa angani?na labda ni mambo ya kiufundi. NI MAWAZO TU!
Mh, jamani mmeongea mengi kuhusu Presdent JK,Lakini kumbukeni kuwa yeye ni kama mchezaji yuko uwanjani kwahiyo siyo rahisi kujua kama anakosea na hakuna kitu kigumu kama kuongoza watu ni fadhali ukalime utajua nimelima kipande cha meta ngapi leo,Anyway kwani washauri wake wako wapi na hao...
Naomba kufanunuliwa namna ya kuishi na mtu aliyeathirika na virusi vya ukimwi au mgonjwa wa ukimwi bila kuonyesha kumnyayapaa,mfano namna ya kufua nguo zake,kuchangia vyombo vya kuogea na vya kulia chakula nk.
Sasa Bw.Idimi mimi sijaelewa kwani ni kujifunza tu au kuna issue nyingine kwani nimeona umeweka mpaka suala loa urefu nk.na kama ni suala la kujifunza unaweza kujifunza kwa mtu yeyote yule hata kwa mtoto mdogo any way endelea kuvuta subira tapatikana tu, kila la kheri
Pole sana lakini cha muhimu ameshakueleza ukweli kuwa muachane sasa labda kama alivyosema mjumbe mmoja kuwa mtafute ili ujue sababu ya yeye kutaka muachane ili kwamba usije ukapata mwingine ukajikuta umerudia kosa lile, hata hivyo hujasema mlikuwa na malengo gani wakati mnaanza mahusiano yenu na...
Jamani tarehe 14 mwezi wa 10 ndo tarehe ambayo baba wa Taifa mwalimu JULIUS KAMBARAGE NYERERE alitutoka duniani kama agizo la Mwenyezi Mungu linavyosema na mwaka huu ni mwaka wa 8 tangu kifo chake, sijui ni watu wangapi wanamkumbuka na mambo gani hasa wanamkumbuka.
Mimi najiuliza kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.