Recent content by Fekifeki

  1. Fekifeki

    Mwigulu ni new version ya magufuli

    Mnaopinga pingeni tu,,ila Mwigulu ni jembe zaidi ya hata Mag, hakika 💪🏽💪🏽💪🏽👌🏽
  2. Fekifeki

    FT: Na leo kuna SINDANO? Ligi Kuu: Simba SC 6 : 1 Mashujaa FC| Uwanja wa Uhuru| 13/10/2026

    Tatizo siyo Dumbia Mkuu,,, Kikubwa Simba SC waibuke na Ushindi 💪🏽💪🏽🦁🦁,,
  3. Fekifeki

    Msaada kumpata mtu aliyepokea muamala kimakosa

    Pole sana mkuu,,pambana tu kivingine hiyo imetoka 🙌🏽🙌🏽
  4. Fekifeki

    Ukiwa na imani na Mungu atajionesha kwenye maisha yako

    Ni kweli kabisaa 🤝🤝🤝
  5. Fekifeki

    Kuna siku utakutana na Mungu ukiwa peke yako

    Umewaza parefu mkuu 🙏🏽 🙏🏽 Dunia si mali yetu hakika tunapita njia tu,,, 🚶
  6. Fekifeki

    Tahadhari unapotea Mwananyamala. Je mmesikia habari ya kijana wa Kinyasa aliyeua watu wanne kwa kuwakata kwa panga?

    Hatari sana asee,,inabidi Serikali iingilie kati kusema kweli 🤔🤔🤔
  7. Fekifeki

    NJOMBE: Amuua mumewe kwa kumpiga na chuma kichwani

    Duh! R I P Babaa 🤔🤔🤔
  8. Fekifeki

    Kisa: Nilivyo fukuzwa kwenye nyumba niliyo panga kwasababu ya nanii

    Nchale kwa Nchale,,,noma Sanaa,,,🚶🏽🚶🏽🚶🏽🙌🏽🙌🏽
  9. Fekifeki

    Rais Samia Suluhu Hassan bado ni kiongozi imara na bora kabisa. nimeweka mifano halisi

    Ni kweli mkuu,,,,hata wale waliotozwa mamia ya milioni walirudishiwa pesa zao baada ya Mama kuchukua mamlaka🙏🏽🙏🏽💪🏽
  10. Fekifeki

    Vipi watanzania Rais wetu amezindua mradi mkubwa na bado hamna furaha?

    Mimi nina furaha labda wewe mkuu,,🚶🏽🚶🏽🚶🏽
  11. Fekifeki

    Kuna Maisha Nyuma ya Hizi 'ID' Zetu, Tusiache Kupendana ❤️

    Asante pia kwa kuyageuza MAWAZO yako ya busara kuwa maandishi mkuu,,atakaye pingana na hili, hakika atakuwa si mwenzetu,,💪🏽💪🏽
  12. Fekifeki

    Kuna Maisha Nyuma ya Hizi 'ID' Zetu, Tusiache Kupendana ❤️

    Bonge la ujumbe mkuu 🙏🏽🙏🏽 Nimeupokea kwa mikono miwili 🤝🤝
Back
Top Bottom