Recent content by Fatma Pazi

  1. F

    Ukubwa wa maumbile ya mume wangu umesababisha vifo vya waganga 7

    Nalijua hilo mkuu ndio maana napambana kujisaidia.. Tafadhali nielezee tu jinsi unavyo mfahamu..
  2. F

    Ukubwa wa maumbile ya mume wangu umesababisha vifo vya waganga 7

    Tatizo nitawapata wapi kaka angu? Kama unajua abc zake please nijulishe tafadhali
  3. F

    Ukubwa wa maumbile ya mume wangu umesababisha vifo vya waganga 7

    Asante sana kaka kwa ushauri wako. Je gharama zake zikoje ? Na je sio aina ya waganga wanao taka kufanya mapenzi na wateja ?
  4. F

    Ukubwa wa maumbile ya mume wangu umesababisha vifo vya waganga 7

    Asante sana kwa ushauri. Ubarikiwe sana
  5. F

    Ukubwa wa maumbile ya mume wangu umesababisha vifo vya waganga 7

    Wasalaam wakuu, Siku kadhaa zilizopita niliandika uzi hapa nikiomba ushauri kuhusu mtu anayeweza kunisaidia kumtibu mume wangu maradhi ya ukhanithi wa kurogwa. Ukubwa wa maumbile ya mume wangu umesababisha vifo vya waganga 7 Nimepokea meseji kutoka kwa watu mbalimbali wakinielekeza...
  6. F

    Ukubwa wa maumbile ya mume wangu umesababisha vifo vya waganga 7

    Dokta Sulle huyu anaejitangaza kwenye redio au kuna mwingine ?
  7. F

    Ukubwa wa maumbile ya mume wangu umesababisha vifo vya waganga 7

    Asante kwa ushauri wako nitaufanyia kazi. Ubarikiwe sana
  8. F

    Ukubwa wa maumbile ya mume wangu umesababisha vifo vya waganga 7

    Hapo utapeli unatoka wapi ? Hivi this how the so great thinkers are supposed to think ? I dont think so. Ninacho kifahamu mimi JF ndo inaongoza kwa kuwa na members masikini na malofa wasio na ajira..Huo utapeli naufanya vipi ? Humu kuna wababaishaji wengi sana...
  9. F

    Ukubwa wa maumbile ya mume wangu umesababisha vifo vya waganga 7

    sasa hivi ni kama amechanganyikiwa..he is so suicidal..hawezi kupita huku
Back
Top Bottom