Natafuta mwanamke, mpenzi, mchumba.
Mimi sifa yangu kubwa awe na hofu ya Mungu, na asiwe muongeaji sana tafadhari.
Mimi ni mweusi, mwenye urefu wa wastani si mrefu na wala si mfupi,
Dini: Mkristo
Kazi: Muajiriwa kampuni binafsi
Elimu: Masters
Age: 30
Location: Sumbawanga
UMRI WA mwanamke...
Habar wana JF
Nakerekwa na baadhi ya tabia za watu kuhisi wao ni perfect kuliko wenzao
Inashangaza sana Watanzania, mtu yupo kwenye mtandao wa kijamii tena kwenye Jukwaa la Mahausiano na zaidi kwenye sub-forum inayoitwa ''Love Connect''; lakini kuna watu wanashangaa kuwa mtu anatafuta marafiki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.