Recent content by Faru Mweusi03

  1. Faru Mweusi03

    Nimeamua kuanzisha kilimo cha Korosho Manyoni - Singida

    Kwaiyo unaacha kazi ili ukaanzishe kilimo cha zao la korosho au sio..?? Acha kutupanga ww
  2. Faru Mweusi03

    HOJA Kwa utovu mkubwa wa nidhamu ulioonyeshwa na baadhi ya wahitimu wa form four. Je, ni wakati serikali ikarudisha viboko mashuleni?

    Mimi ni miongoni mwa watu ambao bado sijaelewa kuondolewa kwa viboko mashuleni, mtoto unamnyimaje viboko et kisa mtoto wa marekani hachapwi,..
  3. Faru Mweusi03

    Nimegundua kuwa nilikurupuka kuoa

    Wewe kama unateseka na mapenzi endelea kuteseka ila nakuambia kuna watu wanaenjoy sana ndoa zao
  4. Faru Mweusi03

    Nimegundua kuwa nilikurupuka kuoa

    Ndoa sio utapeli, kuna watu wameoa na wanaenjoy sana, ila ndoa inaitaji mwanaume a
  5. Faru Mweusi03

    Nimegundua kuwa nilikurupuka kuoa

    NDOA SIO KWA AJILI YA WANAUME DHAIFU,
  6. Faru Mweusi03

    TBC mnazungumzia kuporomoka gorofa Kenya vipi kuhusu kutekwa kwa mtanzania mwenzetu Twaha Mwaipaya hiyo sio habari kwenu?

    Mbona hamna msimamo nyie, TBC si mlisema sio chombo cha habari sasa mnataka iripoti udaku kweli wa Maria na genge lake.?
  7. Faru Mweusi03

    Twaha Mwaipaya atekwa na watu 'wasiojulikana' jijini Nairobi, Kenya

    Acheni janja janja, lengo ni kuzua hataruki au nini.? Mbinu hii haifanyi kazi tena tafuteni mbinu nyingine, watanzania wanaelewa kuwa nyie ni vibaraka na lengo lenu ni kuona Nchi yetu inaingia kwenye matatizo
  8. Faru Mweusi03

    Twaha Mwaipaya atekwa na watu 'wasiojulikana' jijini Nairobi, Kenya

    Acheni janja janja, lengo ni kuzua hataruki au nini.? Mbinu hii haifanyi kazi tena tafuteni mbinu nyingine, watanzania wanaelewa kuwa nyie ni vibaraka na lengo lenu ni kuona Nchi yetu inaingia kwenye matatizo
  9. Faru Mweusi03

    Hivi unaweza kumbaka mkeo?

    Hilo ndio suruhisho
Back
Top Bottom