Recent content by farasi6453

  1. F

    Sativa: Hii ndio CT Scan ya kichwa changu Iliyopigwa pale Aga khan mida ya mid-night

    Pole sana kwa Sativa. Oh! My Tanzania, where are we going? Don't we see enough of bloodshed around us?. Oh! Dear Mwalimu don't look at us from your heavenly Kingdom, for you will feel sorry for us.
  2. F

    ATCL bado hawajajipanga vizuri

    Dah! Hiyo ya mosi mkuu nimecheka hadi tumbo likauma!
  3. F

    Muda umefika nchi za kiislamu na dunia iiambie Israel wacha na inatosha

    Una andika hivi umeona ratio na destructions kati ya Gaza na Israel?
  4. F

    Jaribio la kumuua Trump: Nani wahusika? Kwanini?

    Huenda hizi ni kiki zake mwenyewe kutaka kujionyesha yeye anaonewa na serikali. Trump hana moral vikwazo zozote kufikia malengo yake.
  5. F

    Meneja wa TRA Kibondo akamatwa na meno ya tembo

    Hehe , halafu umkute ndiyo anahusika na faili yako ya kodi.
  6. F

    Meneja wa TRA Kibondo akamatwa na meno ya tembo

    Pongezi sana kwa Jeshi La Polisi kwa kufanikisha ukamataji huu. Naamini kwa wadhifa aliyekuwa nayo, connection na nguvu ya fedha ya mtuhumiwa, Polisi watakuwa wamepitia mtihani mkubwa sana.
  7. F

    Kitendo cha TRA Kuchukua Hela za walipa Kodi Benki bila taarifa kikomeshwe mara moja

    Hamna ubora hapa! Hii sheria inawabana benki zote hapa TZ na TRA/BOT wana full mamlaka nazo.
  8. F

    Kitendo cha TRA Kuchukua Hela za walipa Kodi Benki bila taarifa kikomeshwe mara moja

    TRA kisheria inaruhusiwa kuamrisha benki yoyote TZ kuzua pesa za mteja ambaye TRA ina mgogoro naye.
  9. F

    Serikali kujenga daraja la Pili Kigamboni (Magogoni-Kivukoni)

    Nashauri design ya Ujenzi wa daraja pia ulenge kuweka sehemu za recreational kama restaurant, cafe hata garden. Kuna daraja Iran Tabiat Bridge imejengwa nchi kavu imepata tuzo nyingi kwa design yake kujumuisha recreational activities . Huo wa kwetu eneo la bahari itakuwa na kuvutio kubwa sana...
  10. F

    Zile Helikopta mbili za Ulinzi msafara wa Rais wa Iran aliyefariki kwa ajali zilikwepaje hali mbaya ya hewa?

    Kwa mtazamo wangu hii, ni sabotage iliyowezeshwa na security lapse. Kwanza helicopta ya mwaka 1971 ziliendeshwa na spea za mitumba. Ya pili ni hali ya hewa kuwa mbaya. Kwa nini wakaruhusu safari iendelee? Israel pia ina uhusiano mzuri na Azeri na wana kachero wengi sana pale. Hizi ajali za...
  11. F

    Anayedaiwa kulala na kula Serena kisha kutokomea aachiliwa huru

    Hii ni failure au lack of internal controls. Mwajiri amshtaki Dotto, kwa nini hakuchukua hatua mapema.
  12. F

    SOFTWARE Nauza mfumo utakaokusaidia kutunza kumbukumbu za mauzo na manunuzi hata kama upo mbali na biashara yako

    Habari nzuri. Nauliza. Ina Inventory Control option? Data Security. Umesema data inakaa kwenye server zenu, mna security level gani? Ikiwa mtu kafanikiwa kuingia server zenu, na data ya wateja kuvujishwa inakuwaje? Kuweka data kwenu ni sawa na kuweka pesa benki. Je kuna mamlaka yoyote...
Back
Top Bottom