Recent content by Faraja_Zungu

  1. Faraja_Zungu

    Huduma za intaneti za lazima kuwa nazo kabla ya Desemba

    Hizi huduma zinapatikana kupitia watu wa mauzo (sales agents) wa kampuni husika - unaweza kupata kama utahitaji.
  2. Faraja_Zungu

    Ili kukomesha udini nchini na kujenga taifa imara, napendekeza haya...

    Dini ni miradi ya mataifa makubwa duniani, mfano leo unaifuta dini ya uislamu Tanzania maana yake umeodoa njia ya mataifa ya mashariki ya kati kuwa na ushawishi na namna ya kupitisha agenda zao ndani ya nchi yako. Leo hii ukiufuta ukristo Tanzania maana yake nchi kama Italy, uingereza na...
  3. Faraja_Zungu

    Mtu anapataje faida kwa kufuga mbuzi au kuku wa kienyeji?

    Mimi ni mkulima na mfugaji nitakujibu kulingana na uzoefu wangu kama ifuatavyo: 1. Wakati unaingia kwenye ufugaji ni lazima kuwa mkulima pia kwasababu mbuzi na kuku wako watatoa mbolea ambayo kama utaitupa itakuwa ni hasara kubwa lakini kama utaamua kuitumia kwenye mazao basi utakuwa na uwezo...
  4. Faraja_Zungu

    Ili kukomesha udini nchini na kujenga taifa imara, napendekeza haya...

    Mambo yote ambayo umeyaandika hayawezekani katika nchi ambayo inajinadi kuwa niya kidemokrasia, kufuta mifumo ya kidini itakuweka wewe na nchi yako kwenye migogoro mingi ya kidiplomasia na kiuchumi kutoka mataifa makubwa. Badala yake unaweza kufanya hivi ili kuhakikisha dini za kigeni zinakosa...
  5. Faraja_Zungu

    Sikuhizi vijana wavivu kwenda chuo tatizo nini?

    Zamani kijana akimaliza Chuo alikuwa na uhakika wa ajira lakini sasa ni tofauti ndiyo maana wengi hawana ari ya kusoma
  6. Faraja_Zungu

    Tanzania hakuna mtu mwenye IQ kubwa tuacheni kujidanganya na kujifariji

    IQ inapimwa kwa kutumia njia gani mtaalamu?
  7. Faraja_Zungu

    Kikwete: Sijui kwa nini nchi yangu ni maskini

    Dhihaka 🗿
  8. Faraja_Zungu

    Xiaomi 17 Pro Max

    Mzigo umenyooka sana, haina scratch kabisa?
  9. Faraja_Zungu

    Huduma za intaneti za lazima kuwa nazo kabla ya Desemba

    1. Vodacom SME - Tsh 30k ni Gb 30 - Tsh 50k ni Gb 60 - Tsh 60k ni Gb 75 - Tsh 75k ni Gb 100 2. Yas kinara - Tsh 10k ni Gb 10 - Tsh 20k ni Gb 22 - Tsh 30k ni Gb 35 - Tsh 50k ni Gb 60 3. Airtel SME • Tsh 15k ni Gb 10 • Tsh 20k ni Gb 22 • Tsh 50k ni Gb 60 • Tsh 60k ni Gb 75 4...
  10. Faraja_Zungu

    Je, bila majini Kuna uislamu? Na bila Roho mtakatifu Kuna ukristo?

    Kwanini watu wa dini ni wajivuni sana? Ni nani ambaye amekupa ruhusa ya kuwa msemaji na mchambuzi wa imani ya wengine? Tujifunze kuheshimu na kuthamini imani za watu wengine bila dhihaka 🗿.
Back
Top Bottom