Recent content by EVARISTO MNG'ONG'O

  1. EVARISTO MNG'ONG'O

    Jeshi la Urusi latoa Tathmini ya Mashambulizi ya Marekani na washirika wake kwa Syria

    Urus ilisema itaizibiti marekani na washiri wake,mbona km anachemka. Alisema ataya neutralize makombora lkn makombora yote yamefika Syria
  2. EVARISTO MNG'ONG'O

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Nzuri hiyo
  3. EVARISTO MNG'ONG'O

    Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Nahitaji home theatre lg,Sony au Bose speaker ndefu,watts 1000 au zaidi.
  4. EVARISTO MNG'ONG'O

    Nauza flat screen, fridge na microwave.

    Nataka home theater lg,Sony au Bose watts kuanzia 1000 yenye speaker ndefu
  5. EVARISTO MNG'ONG'O

    Msaada Samsung home theater 3d

    Mimi nina Home theater Sony nawaombeni msaada pia. Nataka nipate ile ladha ya speaker kuimba kwa kupokezana. Unakuta mziki unapoimba kuna speaker inaimba nyingine imetulia. Ile iliyokuwa imetulia unakuta kuna muda inaimba ile ilokuwa inaimba imetulia. Hii ni settings au ni baadhi ya home theater...
  6. EVARISTO MNG'ONG'O

    Nauza Home thread Kwan poa kabisa

    Umemaanisha Home Theatre?
  7. EVARISTO MNG'ONG'O

    Top 10 richest people in Tanzania (orodha ya matajiri 10 Tanzania)

    Mm huwa nahoji,kwann tuna Maprofesa na PhD kibao lkn hatupati ugunduzi wa vitu vipya japo wanafanya tafiti kila iitwapo Leo?
  8. EVARISTO MNG'ONG'O

    free internet 1month 5000/=

    Umemsomesha wewe agawe technolojia bure?
  9. EVARISTO MNG'ONG'O

    Kwanini Wanawake wa siku hizi hawakati Viuno Vitandani hadi walazimishwe?

    Ivi mwanaume naye anakata kiuno au ana pump tu?
  10. EVARISTO MNG'ONG'O

    Kubenea: Tundu Lissu amesema anawajua kwa sura waliompiga risasi

    Mnahangaika sn na nyie. Mara aseme hawajui mara anawajua! Ondoeni mambo yenu
  11. EVARISTO MNG'ONG'O

    Wauza home theater tukutane hapa.

    Nahitaji home theater nzuri ambayo haizidi 400,000/=
Back
Top Bottom