Sawa lakini hata siku moja huwezi kumsikia mBotswana analalamika njaa, umasikini, hana matibabu, hawezi kwenda shule, incompetency, lack of accountability, uwizi, ujambazi, kina mama kuzaa sakafuni, Div 0s, kuwepo kwa viongozi inept na wasiokuwa na vision nk kama sisi. Bora raisi awe mwizi na...