Sahihi.
Na utakuta ni Kijana wa Idara Long time.
Na yuko Loyal kwa wakubwa zake.
Vijana wa idara huwa wanawekwa pemben kwa mwaka mmoja miwili alafu wanarudishwa. Au wanapewa idara ambayo haina heka heka au haina hela kwa muda kidogo alafu wanampea tena shavu.
Maoni yangu:
Chipukizi kwa mwaka 2026.
Wanawake - Binti wa zamani (sio chipukizi ila apewe maua yake)
1. ShesRise_1 (Post fikirishi)
2. BICHWA KOMWE - (post na mchangamfu)
3. Seran (interaction na mchangamfu)
4. leo dada (interaction na mchangamfu).
Wanaume 2026.
(Robert Heriel kasema...
Mungu alishawah kuongea ana kwa ana na Wafuasi wa Mo?.
Mungu mwenyewe aliongea na Mo pale Mo alipoenda kuambiwa mswali mara 50 kwa siku.
Pia Jibril amemtokea Mo ana kwa ana mara 3. Na mara zote zilizobaki ilikuwa ni kwa ndoto.
Sasa hapa ni Mungu anaongea na nani?. Maana sio Mo. Hapa ni allah...
Sasa hilo nalo ni la kuhoji?.
Alipindisha hapa.
Maana angesema hivi. Yeye angekuwa hana La maana tena.
Yeye ametumia Biblia na kuaminisha kuwa Yeye ndio wa Mwisho.
Kwamba watu wote waamin ya Bible ila kuna vitu biblia haijaandika ukweli.
Ila yeye kwa kupitia Wahyi ndio anaandika ukweli 😎😎😎😎...
Hakunaa. Ushindweee..
Ww ndio wa kusaidiwa.
Yote hayo watu walikuwa wanajua hata kabla ya Quran.
Na hiki ndio Waislam wengi hamna.
Waislam wengu hawana Elimu na ndio maana mnadanganyika kirahisi.
Kuna ile aya ya kiduanzi kwenye Quran inasema eti Nabii Issa akirudi atavunja msalaba na kuua nguruwe 😂😂😂.
Yaaan katika wanyama wote aue nguruwe tu?.
Aisee wakitaka watu wawe Waislam..basi ile aya warekebishe.
Mnyama mtamu hivi alafu anauliwaje. Si aue hata nyani au ndezi.
Hapa lazima tuwe...
Kuna kile Kisa kinataja Marium kukaa na Zakaria na kushushiwa chakula kutoka Mbingun.
Biblia haijaandika. Ila kiko kwenye vitabu vya aprokrifa.
Ila Quran imeandika vile vile kama hiko kitabu vya aprokrifa.
Kuna visa kibao na maarifa yameandikwa kwa quran yametoka kwa aprokrifa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.