Recent content by Epsilon

  1. E

    Kipi bora, niwapeleke watoto kwa bibi yao kijijini au nibaki nao mwenyewe, sitaki kuwaacha na Mama yao

    Peleka watoto shule nzuri ya bweni huko watalelewa na walimu, achana na mambo ya bibi,
  2. E

    Mpenzi wangu ameondoka na mtoto mchanga

    Mwanamke huwa hasemi tuachane kama hana pa kwenda au hana mtu , kama amekwambia muachane mara kwa mara huyo hatanii? Muache aende zake baada ya muda atakutafuta , kwa sasa usihangaike nae
  3. E

    Ulishawahi kuteseka na mapenzi ukubwani? Sasa nimekamatika.

    Hakuombi hela anakulia timing tu, anasubiri ujae kwenye mfumo kwamnza halafu akubamize mzinga wa haja
  4. E

    Mwenza kilaza.

    Nimekuelewa sana kwa post yako hii , mpumbavu hafai
  5. E

    Mwenza kilaza.

    Nimekuelewa sana kwa post yako hii , mpumbavu hafai
  6. E

    Kweli, ndoa ni tamu!

    Subiri muda si mrefu hutachelewa kuja kuomba ushauri
  7. E

    Nimemfumania mchumba wangu je nimsamehe niendelee na mipango ya ndoa?

    Ukisikia watu wenye uwezo mdogo wa kufikiri ni pamoja na wewe, umeona red flag zote tena mapema kabla hujaingia kwenye ndoa halafu unakuja kuomba ushauri , wewe bado hujawa na sifa za kuwa mwanaume,
  8. E

    Niwafanye nini hawa watu..?

    Shida ya wanawake ni kuhesabu makosa ya wanaume! Unaweza kuta huyo mwanaume kafanya mambo mengi mazuri ila anahukumiwa kwa hayo makosa 2 tu, sasa umezeeka unaachana na ndoa ili ukawe mchepuko wa mtu? Halafu bado hatujajua upande wako ulikuwa unakosea wapi? Matatizo ya ndoa yanamalizwa na wana...
  9. E

    Kuongoza watu uliowazidi umri

    Kwani shida iko wapi simamia misingi ya uongozi
  10. E

    Dkt. Kijo-Bisimba: Ule Haukuwa Uchaguzi, siku tumeruhusiwa kutoka tulikuta maboksi ya uchaguzi mitaani sijui yalikuwa na kura au la!

    Walimu ndio walikuwa wasimamizi wa uchaguzi wengine walifia njiani wakikimbia maandamano na maboksi ya kupigia kura yalitelekezwa vituoni Maaskari walibadili uniform ili wasitambuliwe na raia maana wangedhurika, kiufupi hakukua na uchaguzi bali tu uchafuzi wa uchaguzi
  11. E

    Binadamu hawakutoka kwa nyani au sokwe. Huu ni ujinga au uzushi uliosambaa sana

    Huo ndio ukweli, ila watu hawataki kuukubali hawa nyani, sokwe, sijui nini ni ndugu zetu kabisaaa,
  12. E

    Binadamu hawakutoka kwa nyani au sokwe. Huu ni ujinga au uzushi uliosambaa sana

    Binadaamu na sokwe wametokana na kitu kinaitwa common ancestor (.yaani tuuite ukoo mmoja au babu mmoja) Na DNA ya sokwe na binadaamu zinafanana karibia kwa 98.7% jambo linaloashiria ukaribu wa ajabu mno kwamba hawa kama ungekuwa mti basi wamezaliwa na mti mmoja wao wakawa matawi, baada ya miaka...
  13. E

    Kisa: Nilivyowahi maishani

    Mbona mleta story haendelei
Back
Top Bottom