Recent content by ENOQUE

  1. E

    Hasheem Thabeet agonga bajaj, amshushia kibano kitakatifu dereva

    hilo ndo tatizo la wabongo wengi wakishapata mafanikio;wanajiona wapo juu ya sheria na jamii anakuwa kipofu kwa upuuzi na ujinga wanaoufanya badala ya kuwakemea ili wajirekebishe! Ni ulimbukeni tu huo!!!
  2. E

    Diamond atumbuiza Big Brother

    though lugha sio issue kwa sasa kwa wabongo wengi tu coz tunaangusha yai accordingly but dogo katuokoa sana;nilidhani tutapata aibu kama iliyotupata kwa Matonya katika tusker project fame mwaka jana-aliulizwa yai akajibu tofauti kiswazi-nilikua kule;nilitaka nijifiche!
  3. E

    Diamond atumbuiza Big Brother

    mwacheni dogo ashine;ndo wakati wake huu;ila atumie tu akili;asiwaze tu kama wale viongozi wanaotumia mata....kuwaza coz 'wat goes up must come down'
Back
Top Bottom