Recent content by Engager

  1. Engager

    Ukweli husiofundishwa kanisani,wa israel sio wakristo wana dini yao ambayo haimtambui yesu kristo na wala huwa hawasali Kanisani. Sababu ni sadaka

    Andiko refu hili. Anyway, kwanini unataka kanisani wafundishe kuhusu dini za watu wengine? Kwani tunaendaga kanisani kuabudu dini au Mungu?
  2. Engager

    Ujenzi bandari ya Bagamoyo kuanza Desemba 2025

    Umewaza kama mimi.
  3. Engager

    Sijajua vigezo vilivyotumika kumteua Mwigulu kuwa Waziri Mkuu, hafai

    Akili? Unazungumzia akili kwenye serikali hii??!
  4. Engager

    PostGE2025 Ni uapisho wa Waziri Mkuu, lakini sura nyingi zinaonekana zenye huzuni, nini kinawasuta kwenye nafsi zenu?

    Acha hiyo. Mkuu wa nchi kapost pongezi kwa waziri mkuu mpya kwenye ukurasa wake wa instagram halafu kazima comments😊
  5. Engager

    Hivi kaka yake Humphrey Polepole ni mwanajeshi kweli wa NATO? Mbona mikwara imekuwa mingi

    Tuliambiwa wamejipanga kuelekea MO29. Hadi mtaani tulikuwa nao tunawashangilia. Lakini walifanya nini? Kitu gani kiliwashinda na sasa watakiweza?
  6. Engager

    GE2025 Ngoja niwaambie kitu Watawala kuhusu hawa Gen Z

    Generation Z (Zoomers/ Gen Z) ni kundi la watu ambao wamekulia katika mazingira tofauti kidogo na Generations zingine za nyuma yao (Generation Y kurudi nyuma) Kwa asiye jua, Generation Z ni kundi la vijana waliozaliwa kati ya 1997 hadi 2012. Gen Z ndilo kundi kubwa la watu waliokulia katika...
  7. Engager

    Picha za Ikulu, Mitandao, na Maadili: Ni nani aliyevunja kanuni?

    Yule mwanamke haelewi maana ya kiti anachokikalia.
  8. Engager

    Picha za Ikulu, Mitandao, na Maadili: Ni nani aliyevunja kanuni?

    Eti wanataka kusema hizo picha ni eiAi😅
Back
Top Bottom