Recent content by Eng. Zezudu

  1. Eng. Zezudu

    Ukweli kuhusu Jane Urassa - mke aliyeuawa kwa risasi 💔

    huu uzi ni wa upande wa k , je upande wa me vipi, hapa kwa vyovyote vile mwanamke alitaka kumzidi speed me,
  2. Eng. Zezudu

    DOKEZO Nimeshinda Sh 27M kwenye kubet, Kampuni inataka kunipa Sh 3M, Gaming Board hainisaidii

    kampuni ambazo hazina longo longo kwenye mkwanja ni zipi, hasa ukisha kula, superbet ilipita na ela zangu
  3. Eng. Zezudu

    eFootball Special Thread

    mnacheza kwenye simu au pc
  4. Eng. Zezudu

    Je, Time Travel Inawezekana? Einstein Alitupa Jibu Miaka Kadhaa Iliyopita

    Hiyo time travel unasafiri kwenda wapi mkuu
  5. Eng. Zezudu

    Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, ajiuzulu

    Kwa nini amejiuzulu tuanzie hapo kwanza
  6. Eng. Zezudu

    Mungu ni Omnipresent, yuko ndani yako! Hivyo Nguvu zake za Kufanya Kila Kitu Unazo. Jifunze Jinsi ya Kuziamsha na Kuzitumia…

    Kwa kuwa mwili ni karibu , jumba linalohifadhi mwili na nguvu, naona wale wanaoweza kutoka nje ya mwili , wanaweza kufika izo point
  7. Eng. Zezudu

    PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

    Mbona izi game ngumu sana hasa kwenye defensive tofauti na game za nyuma, Fifa 20 Fifa 21 Fifa 22 Fifa 23 Ea fc 26, Izi Zingine ngumu sana kwenye kuscore hasa fifa 15 na fifa 17, kupata goli ni kazi sana Yani.
  8. Eng. Zezudu

    Siku hizi hatutongozi tena wanawake… tunawapa tu “idea” tu!

    Me Leo nilikuwa naenda kutafuna manzi , lakini nashukuru sana tamaa za mwili naendelea kuzishinda, Tukatae uzinzi Haina mana , kama na mmoja, piga papuchi vilivvyo
  9. Eng. Zezudu

    Elimu ni cheti au ni ujuzi?

    Cheti ni uthibitisho tu wa ujuzi na knowledge uliyoipata huko shule, kugundua kitu unaweza ila mazingira sio rafiki
  10. Eng. Zezudu

    Kiuhalisia kabisa Elias Kihombo yupo overrated, anakuzwa na alijikuza mno ila alikuwa wa kawaida sana

    Mimi ndo genius , visionary na matokeo yangu yaliendana na msuli wangu, Form IV one 14, form 6, division two 12,
  11. Eng. Zezudu

    Trump kawadhalilisha wayahudi wa Tandale

    Meleta Uzi yupo anaomboleza kifo Cha Mkuu wa magaidi
Back
Top Bottom