Recent content by emt45

  1. emt45

    Jinsi nilivyompata msichana wangu wa kwanza, I real miss her..

    Ulifaulu form lakini maana ndiyo kilikuwa cha necta
  2. emt45

    Mtu akitaka kukusaidia kujiendeleza taaluma yako na wewe ufanye nae mapenzi, utachukua uamuzi upi?

    Itapendeza kama ukimpa siku ambayo baada ya msaada wake kukuwezaesha kumaliza masomo
  3. emt45

    Rais Magufuli ampongeza Diamond Platnum kwa kuchaguliwa kutumbuiza Kombe la Dunia

    Sema showoff zinasaidia si unaona mwenzake amealikwa kutumbuiza urusi kombe la dunia [emoji4] [emoji4] [emoji6]
  4. emt45

    Tabia ya kudaiana vitu baada ya kuachana

    Vinatafutwa kwa shida kisha mnapewa kwa moyo sasa kama hutoheshimu jasho la mmeo na kuthamini moyo wake ya nini ubaki nacho
  5. emt45

    Ni kweli Wastara anatudanganya kuwa yupo hospitalini India?

    Kweli Falme ngumu hudondoshwa kilahisi na mwanamke , wastara kamtapeli raisi anaye bana matumizi na kuzuiya safali za nje , Teena kilahis tu
  6. emt45

    Why do women always fall in a wrong choice?

    Wana sababu nyingi za historia ktk mahusiano , na sababu hizo huwa zina dosari nyingi ,ndipo wanajikuta hawana hawana na kupumzikia
  7. emt45

    Kwanini ung'atwe ovyo!!

    Huyo mwengine akileta tena zogo ?
  8. emt45

    Sheria ya Ndoa: Maswali na majibu mbalimbali

    Wewe subilia watuja na majibu ,ila hawachelewi kusema maswali hayo ynajibiwa kwa malipo
  9. emt45

    Kama wewe ni binti na una miaka 25 au zaidi na hujui kabisa nani atakuoa na hamna dalili, usichukulie poa

    Kuna mmoja kazalishwa , nyonyo lishakuwa ndara lakini bado anajiona binti mwenye damu kuchemka [emoji12] [emoji23] [emoji23]
  10. emt45

    Je, wewe ulichaguliwa kuwa mwenyekiti wa BAVICHA ulikuwa ndugu wa nani? Maana unasema vyeo hutolewa kindugu

    Rizone Yule bint wa Sokoine Kawawa Mwinyi Sita Kuna waziri wa Fedha alifaliki mtoto wake wa kiume akapewa ubunge huko iringa kpnd cha Kikwete Makongoro Huyo Mpumbavu ameenda kukalilishwa ninavyo juwa mimi japo kidogo siasa za CCM hazipo hivyo
Back
Top Bottom