Recent content by emmathy

  1. emmathy

    One of the Best

    Very interesting
  2. emmathy

    Watumishi wa umma kutopanda vyeo/madaraja hadi wapitie mafunzo maalumu

    Nawaza mfumo utakavyokua katika kuhudhuria mafunzo, kwamba unafanya kujaza fomu au utagaiwa fomu ujaze?
  3. emmathy

    CHADEMA 'Lowassa siyo fisadi', CCM 'Lowassa ni fisadi'

    Mtoa swali unaweza kutuambia dhima nzima ya swali lako?
  4. emmathy

    KUANZA SHULE KIDATO CHA TANO BAADA YA KUCHELEWA TERM NZIMA INAWEZEKANA?

    Jaribu kuwasiliana na shule husika kujua kama nafasi yake bado ipo ama laa, kama nafasi bado ipo mpeleke kijana na awe tayari kupambana kweli ili kufidia wenzake walichokwisha kukisoma
  5. emmathy

    Asante Majizo na TV E

    Asante TV E
  6. emmathy

    Msamvu na risiti za vishina

    Inawezekana hawajaagiza mashine au ndio wapo kwenye mchakato wa kuzileta. Nadhani ujumbe umefika kwa wahusika,
  7. emmathy

    Taarifa kwa vyombo vya habari kutoka CCM

    Taarifa nzuri, ila wakati watu wakiwa kwenye mchakato wakutafuta suruhu kurudi bungeni sio vema kuwakebehi na kuwadharau. Pamoja na tofauti za vyama yapo mambo lazima tusimame kama taifa.
  8. emmathy

    Tunaomba serikali itoe ufafanuzi kuhusu makato kwenye mishahara ya mwezi wa nane!

    Kama vp muone afisa utumishi wako, anaweza kuwa na majibu sahihi
  9. emmathy

    Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Pamoja na hayo nasikia pia katika kubadikishiwa muundo mwalimu akitoka kusoma hapandi cheo hadi akae miaka mitatu, sijui nayeye alipokua mwalimu alilikuta na kuliacha Hili?
  10. emmathy

    Job Ndugai: Kila Mbunge kufungiwa computer

    Je amezungumza akiwa kama nani? Au kampeni za uspika zimeanza?
  11. emmathy

    Mahakama Kuu Kanda ya Dar: Marufuku Mikusanyiko ndani ya mita 200 baada ya kupiga kura

    Mahakama imetoa uamuzi kuwa hakuna kukaa mita mia mbili, hakuna mkusanyiko wowte unaoruhusiwa. Jukumu la kura zitakazopigwa limebaki kwa tume na mawakala. Natumai haki itatendeka na hakuna atakae lazimisha kutawala:A S shade:
  12. emmathy

    Tetesi kuwa Putin amepinduliwa

    Russia's Vladimir Putin dismisses 'gossip' over absence Russia's Vladimir Putin dismisses 'gossip' over absence - BBC News
  13. emmathy

    Tumwamini nani linapokuja suala la kujiuzulu na kusimamishwa kazi?

    Nimeliona hili kwenye magazeti ya leo juu ya Ndg. Kipande wa bandari anapopinga juu ya tuhuma dhidi yake, kuwa yeye ni mchapa kazi mzuri na amefanya mengi, kuondolewa kwake ni hujuma. Nimeliona hili hata katika sakata la Escrow, Prof. Tibaijuka, vile vile Prof. Muhongo, ambao walijieleza kuwa...
Back
Top Bottom