Wakuu,
Natafuta mtu ambaye ni mzoefu au anaafanya shughuli ya kuvundika ndizi kwa umeme almaruufu kwa kutumia container maalumu za kuivisha ndizi. Ni kwa ajili ya kujifunza na consultation. Please nicheki 0752042670
sijui hali ya kiuchumi ya wazazi wako, kama wazazi walikuwa wanategemea makubwa kutoka kwako ukienda kuwapa hii taatifa itwadisapoint sana. Acha chuo kimyakimya, usirudi nyumbani hata iweje ili wasijue. Pambana sana kutafuta hela, siku unawapa taarifa uwe ushapata uelekeo wa kiuchumi ili...
Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Wanawake na Uzazi, Godfrey Chale wa Dkt. Chale Polyclinic iliyopo Mbezi kwa Msuguri ana eleza kuwa maumivu wakati wa tendo la ndoa kwa mwanamke husababishwa na kukosa maji maji ukeni (Ute), hiyo hali imesababishwa na wanawake kupitia stress za Vikoba na marejesho...
Alafu kuna mjinga mmoja anakaa kumtukana mfanyabiashara Mwamposa, kila mtu anakula kwa zamu yake.
Yohana 4:21
[21]Yesu akamwambia, Mama, unisadiki, saa inakuja ambayo hamtamwabudu Baba katika mlima huu, wala kule Yerusalemu.
Kila nikisoma hii, dini na madhehebu ni utapeli
hiyo ni ishu ya akili yako, unapopiga nyeto lengo ni kumwaga haraka ili upate furaha kwa haraka. Ushatengeneza neuropath kwamba kila ubongo wako ukipewa taarifa za kuwa unashiriki sex iruhusu viungo vyako vya uzazi kuachilia mbegu kwa haraka. Kama ilivyochukua muda kutengeneza tatizo, pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.