Mashabiki wa yanga watakaoshangaa na kulalamikia tukio la timu kuchangia CCM ni wakushangawa maana sijui waliweka wapi akili zao hapo awali kushindwa kujua klabu yao ipo kwenye wamiliki wa chama gani
Watu akili zishakula sijui kitu gani kana kwamba maraisi waliopita hawakufanya miradi yoyote. Japo tulikuwa tunasikia serikali imefanya na sio mtu fulan
Yaani hata sijui kama somo la uraia huko mashuleni lipo wanafunzi watafundishwaje maana wanasiasa wenyewe wanachanganya mambo. Raisi wa awamu ya sita kuongoza kwa miaka 4 na sijui hii anayogombea itaitwa ya ngapi sasa
Mtumishi wa mungu umenena kweli na umenikumbusha enzi hizo kweli hakuwa na maswala ya hzo kadi na michango ilokithiri. Yaani siku hizi wakubwa tu ndio wanasherehekea na unakuta muda pia ni usiku. Uchoyo uliokithiri huu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.