Recent content by elmuhaja

  1. elmuhaja

    Gharama za Maisha Zanzibar Zipo Juu sana

    Utajua mwenyewe na ulilonalo rohoni mwe
  2. elmuhaja

    Sheria ya Kikristo inasemaje kwa mtoto wa nje ya ndoa?

    Hizo sheria ni za wana Israil, hazitafanya kazi sasa
  3. elmuhaja

    Ukristo na Uislamu ni Dini mbili zisizofanana kabisa

    Na hii pia ni tofauti. Biblia inatabiri lkn Kuran kila kinachosemwa ni kweli
  4. elmuhaja

    Nashauri: Kuongea Kiingereza kwa unyoofu (fluency) ibaki kuwa kigezo cha kumpima Mtanzania mwenye Degree

    Kama unaongelea waliosomea degree ya lugha ya kiengereza sawa. Lkn kuna watu wanachukua degree hazihusiani kabisa na iyo lugha. Kwa mfano kama ukichukua degree ya lugha ya kiarabu itakuwaje
  5. elmuhaja

    Zanzibar: Afungwa miaka 70 jela kwa kubaka, kulawiti na kutorosha msichana

    zanzibar, ukimchukua dem na ku DO nae, mzenj lkn sijui wa kutoka bara, kama hajafika miaka 18, basi utapewa kesi ya kutorosha na kumuingilia kinyume na maumbile hata kama hukumuingilia kinyume. Ndio maana mnasikia sana kuhusu kuingiliwa kinyume na maumbile, lakini kiuhalisia sio kweli.
  6. elmuhaja

    Hivi kuna maisha baada ya kifo?

    Una haraka ya nini? Karibuni tu utakufa utaju mwenyewe
  7. elmuhaja

    Siku aliyozaliwa Yesu bado Kitendawili

    Tatizo mnalazimisha Ukiristo iwe ni Dini, wakati ata Yesu mwwnyewe haijui hiyo dini
  8. elmuhaja

    Siku aliyozaliwa Yesu bado Kitendawili

    Kuna vingi hujaviona lkn vipo, acha upumbavu
  9. elmuhaja

    Kuna Dalili zozote kuonyesha kuwa Uamsho ni Terrorist Organization?

    Ungevunjika muungano kila mtu akawa kwake, hayo mambo yasingekuwepo. Sehemu zote unazosikia kuna vikundi vya kuitwa Vya kigaidi basi kuna Uingiliwaji mkubwa wa nguvu katika Serikali zao na nchi zao kwa ujumla, hasa kutoka nje, au propaganda zilizopandikizwa ndani ya nchi.
Back
Top Bottom