Cost inategemea na programmer utakayempata kuna jamaa yangu yupo kwenye process mpaka sasa imekula 10M+ japo bado haijasimama lakin cost nyingi ni kwenye usajili coz kama unavyojua nchi yetu kila unapokwenda wanataka nyaraka za serikali 💰
Hivi kwa nn Tanzania kodi ni viushuri ni vingi kiasi hiko kwa nn serikali isiweke mpangilio maalumu ambapo mtu atalipa kila kitu sehemu moja mana kama unaanzisha biashara inakatisha tamaa sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.