Recent content by Elisha Ray

  1. Elisha Ray

    Baadhi ya madhehebu ya kilokole yanapotosha.

    Soma sana biblia yako, omba sana na achana na hao wapotoshaji. I hope umempokea Yesu kama Bwana na Mwokozi wa maisha yako..
  2. Elisha Ray

    Mke wangu anashindia kanga moko muda wote

    Dah! Una matatizo gani ndugu kwenye mwili wako? Wengine twatamani mke design hiyo wewe una-complain? Huli vizuri nini??
  3. Elisha Ray

    Je, ni umbali gani unatakiwa kupandwa miti ifuatayo pembeni ya fensi ili mizizi isipasue msingi, mwisho ukuta?

    Nilikata kwa 'uchungu' miembe dodo miwili baada ya kujishauri kwa miaka kadhaa kutokana na kuwa naziba nyufa kila baada ya meizi michache.. Mafundi walikuwa wanakula hela zangu tu.. Ila embe nazikumbuka hata leo zilivyokuwaga nyingi na tamu dah...
  4. Elisha Ray

    Sukari imepanda Bei. Hapo ulipo bei ipoje?

    Nimenunua sukari juzi Mr. Discount pale Mlimani City 3,500/-... tena wauziwa si zaidi ya kilo mbili!
  5. Elisha Ray

    Tukio la kupotea kwa watu wengi hapa duniani kwa wakati mmoja limekaribia sana kutokea

    Siku wala saa haijulikani lakini tuliambiwa dalili zake na ndo tuko nazo Siku hizi.. Ndio maana tukaambiwa tukeshe (meaning to be alerted or on alert that the event will happen when we least expect it to...)
  6. Elisha Ray

    Tukio la kupotea kwa watu wengi hapa duniani kwa wakati mmoja limekaribia sana kutokea

    We only have 24 years left to reach that 100. So that event will take place any time soon.. Get ready y'all!!!
  7. Elisha Ray

    Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    My! You are having a bad dream.... A very bad dream..
  8. Elisha Ray

    Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Honestly, aliyepotea ni wewe. Umepotelea kwenye umaskini wakati wezako tuko uchumi wa Kati...
  9. Elisha Ray

    Dar es Salaam kila baada ya mita tatu kuna ndoo ya maji na kitakasa mikono, hivi mbona Marekani utaratibu huu umewashinda, au ndoo kwao ni ghali sana?

    Siwezi na sikumaanisha picha za mji mzima. Nilichomaanisha ni kwamba hizo mita tatu ulosema si kweli ni ka-sehemu kadogo tu ka mji labda waweza kuta ndoo zipo karibu karibu hivyo...
Back
Top Bottom