miaka 45 inabidi astaafu kwenda field. abaki na utawala tu. tukiendelea hivi wengi watazikwa. miaka zaidi ya 40 huwezi kufanya kazi za kutumia nguvu. utakufa siku si zako. ndiyo maana hata ronaldo kalazimishwa kustaafu soka kwa timu ya taifa
Shida wana kitabu ambacho hawakielewi. Maana usipojua kiarabu. Wewe huwezi kuelewa kuluwan. Pia kuna mambo mengine ambayo wanayafanya kwa moyo wote lakini hayapo kwenye kitabu chao. Ni tatizo kubwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.