Hakuna rafiki wala adui wa kudumu katika siasa.yeyote muda wowote anaweza kuwa rafiki au adui yako.
Maisha yenyewe mafupi afu unataka kujibebesha mizigo
Sugu si habari tena hapa jiji,ni Bora akatulia mpaka Dada wa dunia utakaposema inatosha.vinginevyo atapoteza visenti vyake tu kwenye kampeni.2020 alitumia kilikuu kupiga kampeni,safari akijichanganya atatumia guta.Miaka 10 aliyoongoza jimbo inamtosha,hatuna historia ya mbunge kuongoza zaidi ya...
Hii inakatisha tamaa,lkn Mungu yupo huenda anamakusudi yake,kumfunga mtoto wa kike miaka yote hiyo je wangapi wataathirika na hukumu hii? Anyway anayehukumu Leo Naye anasubiri kuhukumiwa after life
Dr.Tulia ndo habari ya Wana Mbeya kwasasa, atakaye jaribu kukaa mbele atasagwa sagwa,Jiji lazima liendane na hadhi ya Mbunge,Tulia ni hazina ya Wana Mbeya,Jiji limetulia na Dr Tulia
Chama Cha mapinduzi chini ya mwenyekiti Ccm wilaya kipo kufanya maandalizi kabambe ya Kumpokea MBUNGE wao kipenzi Daktari.Tulia Ackson ambaye hapo jana amechaguliwa kwa kishindo kuwa RAIS wa umoja wa MABUNGE Duniani (IPU),wana Mbeya na msio Wana Mbeya mnakaribishwa Sana kuungana nasi,tarehe ya...
Hayo ungeyasema huko ulikoalikwa kabla hata ya chai nzito kuinywa,endeleeni na msimamo wenu Serikali nayo iendeleee na msimamo wake,hakuna kilichokikamilifu iwe taasisi ya dini au serikali,Cha msingi maisha yaendelee, hata kwenye taasisi zenu za kidini kuna mapungufu mazito lkn tunaendelea...
Ni makosa makubwa kulinganisha Nairobi na DSM au Kenya na Tz,Iko hivi,Tanzania imejengwa na WA Tanzania wenyewe wakati Kenya imejengwa kwa jasho la wakoloni,Tz Iko mbali Sana,fikiria Tz tungejengewa kama wakenya walivyojengewa na mabwana zao tungekuwa mbali Sana.Wakenya wawashukuru waingerereza...
Hawa nao ni binadamu kama sisi, sio wakamilifu kama sisi,walichokisema ni utashi wao Wala si wa Mungu,serikali endeleeni na michakato kama kawaida maana nyie ndo wabeba maono ya watanzania.Waacheni Hawa waendelee kuchanganya mafuta na maji Kuna Mahali wataji lock,Kama ni uzalendo wa kuipenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.