Recent content by edyelecto

  1. E

    Uliza chochote kuhusu Rwanda

    1.Kwanini mr.p. Anaomba kuhifadhi wageni wapya tena wa rangi nyeupe kutokea nchi za mbaali saana, Japo kua rwanda ni nchi ndogo saana tena ilojawa na wakimbizi mipakani mwa nchi jirani kama Tanzania. 2. Kwanini asiwakusanye wenye asilia makambini na kuwaleta pamoja kuijenga Rwanda moja?
  2. E

    Wajuba Naomba mniambie hawa watu wapo au ni wapigaji

    QNET Ilinilamba milion 6 mpaka sasa, Stakagi kusikia habari za neno fursa inayomshawishi saaana mteja
Back
Top Bottom