Recent content by Edson Kamya

  1. E

    Kila nikikutana na wazee/watu wakiniuliza swali "una mchumba?" Najikuta naumia

    Japo haihusiani na mada yetu. Lkn bado nakukaribisha.
  2. E

    Kila nikikutana na wazee/watu wakiniuliza swali "una mchumba?" Najikuta naumia

    Hizo ni pressure za jamii kwa mwana jamii. Likn usisahau kuwa haya maisha ni yako hautaishi kwa niaba ya wengine
  3. E

    Kuna mambo ni ya kupuuzia ila hili la El nino siyo moja wapo - Tujikumbushe yaliyotokea 1997/1998 ⛈

    Wapi nimekupigia kelele. Sina uwezo wa kubadili majira na misimu. Wether umejianda au hujajiandaa, utapitia hali yoyote itakayokuwepo, jua, mvua, joto, baridi,.... regardless imetangazwa na nani. Btw, unaweza kutumia vyanzo vingine vya utabiri wa hali ya hewa mbali na TMA
  4. E

    A Night Date with a Man

    Kutokata ndevu ni uchafu?
  5. E

    Kuna mambo ni ya kupuuzia ila hili la El nino siyo moja wapo - Tujikumbushe yaliyotokea 1997/1998 ⛈

    98 nilikuwepo na nakumbuka vizuri. Tahadhari nimechukuwa. Nikirudi kwa upande wa jamii kwa ujumla wake, ukisikiliza yanayozungumzwa ni kama kuna "kutokuelewa"?/ignorance?, (nakosa meno zuri) hali hiyo imeleta kupanic.
  6. E

    Kuna mambo ni ya kupuuzia ila hili la El nino siyo moja wapo - Tujikumbushe yaliyotokea 1997/1998 ⛈

    Sawa Elnino yaweza kuwepo ila jamii mnaiweka kwenye pressure kubwa. Vipi, tuuze tulivyonavyo tununue vyakula?
  7. E

    Tumetoka mbali: Mada maalum ya matukio ya zamani

    Furahia wakati uliopo , leo ni zamani ya baadaye.
  8. E

    Tumetoka mbali: Mada maalum ya matukio ya zamani

    Hapo ni kijijini kwetu jirani na zahanati. Tanki hilo lilikuwa lilisambaza maji maeneo ya katani. Nitakuwa huko December, kunako majaaliwa.
  9. E

    Je, ni uchawi au saikolojia?

    Kumbe ni nini
  10. E

    Je, ni uchawi au saikolojia?

    Huyo mtu anayeweza kufanya hivyo bila kumdhuru mtu kwa kificho kisha aseme kubwa amefanikisha kichawi, hayupo. Kama yupo mwbie afanye kwangu
  11. E

    Je, ni uchawi au saikolojia?

    Wewe waweza kuniroga?
Back
Top Bottom