Recent content by Eddy Kadinde

  1. E

    Wauza karanga

    kaka niliuliza jibu lake nikaambiwa uza na ww utapata jibu unalolitaka...
  2. E

    Wauza karanga

    hivi wale wanaouza karanga za kupima za kwenye vikapu ambao huwa wanaweza hata kukuonjesha wakiwa wanaingia toilet kujisaidia pindi wakiwa mzigoni(barabarani) huwa wanamuachia nani bidhaa zao au huwa wanaingia nazo huko...?
  3. E

    Follow Me If You Can!

    Ujinga ni kukaa mbele kwa dereva halafu unamwambia konda shusha tena kwa sauti kubwa...anayesimamisha gari c upo nae hapo...
Back
Top Bottom