Katika haya mambo wengi sana wanapambwa kwenye mazuri wanayofanya, na Yale mabaya yanatetewa mno hususani na machawa wao..
Binafsi nakubali wapo watu ambao ni hustler na wamehangaika sana kufika level za juu..
Lakini pia lazima tukubali madon wengi ambao hawatoki maisha mazuri wamefanya Ile...
Daaaaah
Daaaah aiseee, eti Odds zilikua bado chache kamali imeharibu sana watu....Kwahiyo papuchi ambayo haijaenda km nyingi ndiyo ina Odds chache...... Haaahahahahahahha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.