Recent content by EadJob

  1. E

    Vituko vya Mike Tyson

    Naona na Floyd Mayweather kafungua kesi ya kutapeliwa dola millioni 550
  2. E

    Wanaume amkeni; mliooa wenye degree wanawafulia nguo ama mmewanunulia washing machine?!

    Hivi vitu kama kufua kwa mikono,kupika nk kama mnapendana, Mwanamke utajikuta naturally unavifanya bila hata kuambiwa muhimu tu tuoe wanawake wanaotupenda.
  3. E

    Mtanzania akamatwa kwa madawa ya kulevya thamani ya shilingi 7.8 bilioni

    Hatari sana hapo alikuwa anaenda kumaliza nguvu kazi ya taifa
  4. E

    Nikimuangalia baba angu mdogo, miaka kadhaa nyuma, alikua tajiri kiasi chake, Leo Hana kitu, mlevi tu. Maisha haya, chunga sana

    Upendo huvumilia yote,hutumaini yote na hustahimili yote,huyo Mwanamke hakumpenda huyo Mwanaume hata kama huyo Mwanaume angeishi naye vizuri kiasi gani angemtafutia vijisababu vya kumuacha.
  5. E

    Mya, ana miaka 45 hana mchumba, hana mtoto she is proud of her life

    Umenikumbusha nyimbo ya the game inaitwa dreams
Back
Top Bottom