Na ukitaka kuoa tafuta pisi ya kawaida, itakusaidia sana kwenye upambanaji kwenye maisha, haitakua na mawenge ya kutaka kuachana wala ugomvi wowote ambao sio wa kawaida.
Utafurahia ndoa, familia na maisha kiujumla.
Ukioa pisi Kali utajuta na utaelewa kwanini binadam hajafuga pundamilia pamoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.