Wanacdm msijali, NITAMNG'OA MAKALA KWA AIBU 2015! Tathmini yangu kwa mkoa wangu wa morogoro ni kwamba CCM IMEFANYA MKOA WA MOROGORO SHAMBA LA BIBI KWA KUTEUA HOPELESS, UNQUALIFIED CANDIDATES AMBAO HAWAMPI RAIS KICHWA MOTO KUWAFIKIRIA KATIKA UWAZIRI..NO SENSE...STATUS YA MJI KASORO BAHARI...
UDOM UDOM UDOM!!!! Wanasema ukitaka kujua uzuri wa ngoma ingia ucheze...Asilimia 99.9 ya professors wote wa UDOM ni reject huko walikotoka, asilimia 80 ya lecturers wa kawaida ni frustrated ambao kwao mafanikio ni ngono na ulevi kupindukia. Taifa litegemee zao gani hapa??? Ndio maana namkumbuka...
Ndugu wanaJF nadhani hawa jamaa wameanza hujuma kwa media maana nilikua nasikiliza clouds fm huku ughaibuni tangu kipindi cha Jahazi kinaanza. Walipotaka tu kuongelea plight ya Mzalendo Dr Ulimboka, wakakata matangazo ya online...Yaani ni ful zengwe :frown:
Pole sana Sterling.....ulitegemea nn kama viongozi wote wa UDOM ni vipandikizi na ndio maana malecturer wenye akili wakinusa tu UDOM wanakula kona. Mi nilivumilia kama miaka miwili lakini baadaye nikaona aging rate inaongezeka nikaamua kula kona. In fact UDOM ni trap kwa vijana wengi has...
Huu ni mwanzo tu...kuna disasters kubwa kama gharika la Japan linakuja ndani ya chama hiki. Dalili za mwisho wa chama zinazidi kuongezeka kila kukicha...ona wabunge wa CCM walivyokosa hekima na busara. Yaani katika wabunge wote wamemuona chenge ndio wa kuwawakilisha kwa rais...Chenge huyu ambaye...
:lol: Inasikitisha sana.... kwa ubabe wa chama chetu cha majani........inawezekana kumpitisha kua mgombea wa urais lakini sio rais maana rias mwenyewe yupo na wala hana camp kama hawa vihiyo wakina Embe na Silver Hair.
Yaani jamaa huwa wana fikra potofu sana... hv wanadhani watanzania ni wale...
Natamani kungekuwa na gharika na kimbuga kama vya enzi za mitume na kuwapoteza watu wote wenye Upako wa Rushwa katika Tanzania. Ndani lindi la umasikini uliokithiri, waroho hawa bado wana wanawabana maskini wanaokesha kujikwamua na laana hii ya umaskini.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.