Hata mimi sitaki kuamini kuwa kuna vifo vilivyotokea, ila najiuliza kama jana jeshi la polis lilikamata wanafunzi 39. Mbona waliosomewa mashtaka leo ni 38?
Nimesikia kisehemu cha taarifa ya habari televisheni ya taifa leo hii Kpt Chiligati akimtetea Mheshimiwa muungwana ati ana nia ya kweli ya kuushugulikia ufisadi wa EPA kwa kuwaalika wakaguzi kutoka kiwanja, wakati kila mwenye macho anaona kuwa Mh. Muungwana anajitahidi kuufunika uchafu wao.
Jamanii eeh, Hapa JF naona tuna vihiyo wengi sana. Hivi mtu kutokuwa chuoni kipindi cha masomo ndio kipimo cha kufeli?
Haiwezikani kweli mtu akahairisha mwaka?
Nafikiri sasa itabidi tuweke vipimo kabla mtu ya kupost thread tupime uwezo wake wa kupambanua mambo la sivyo JF itapoteza heshima na...
Jamani mimi nina wasiwasi kidogo hawa IMMMA wanaweza kwenda mahakamani kweli kwa sababu wana resource zote.
Waziri aliyewatetea hata kabla hawajaenda huko mahakamai kwenyewe
Jaji Mkuu
Watoto wa Marais 2
Na Mheshimiwa Muungwana mwenyewe
Ni Bora Mwanahalisi wajiandae kwa hili...
Source zangu zinadai daladala zilitoka Dar. Na mkuu anajikosha kwa kumtosa mshkaji wake kwenye hii ishu ya Monduli. Pia tetesi zinadai kuwa mahojiano TVT aliyakata Mh. Spika katika kujitahidi kuuokoa mtandao.
Kuna taarifa za Kujipenyeza kutoka kwa usalama wa taifa na wafanya biashara wa daladala kuwa walikodiwa na mheshimiwa Lowasa kwenda kumpa kampani wakati anarudi jimboni kwake.
Jamaa wamekula hela za kutosha tu na kuna madai kuwa baadhi ya fedha zimetokaa kwa mkuu mwenyewe.
Wenye taarifa zaidi...
Jamani eeh. Hili suala ni pana sana nimeisikia ripoti pale bungeni alipokuwa anisoma Mtetezi wa wanyonge Mh. Dk Mwakyembe nimepata na mshtuko na kilio baada ya kugundua kuwa hata TAKUKURU (TAKUKURUNDO taasisi ya kuzuia rushwa ndogondogo) nao wanahusika pamoja na ofisi ya mwanasheria mkuu. Sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.