Recent content by DVJ

  1. DVJ

    Msaada Jamani Mwenye Uelewa Kuhusu Kesi za Aina Hii

    Mimi ni kijana wa umri wa miaka 29 nilikuwa naomba kueleweshwa katika hili mnamo tareh 13 nilipatwa na tatizo ila katika tatizo nilikuwa kazin na yule alikuwa mteja mie sikuingia kazini maana nilikuwa najisikia vibaya nilijibushana na mteja nikimwambia mie leo sipo kazin nimekuja kula ili nirud...
  2. DVJ

    Kama nchi mbili ziliungana zikazaa Tanzania kwanini Zanzibar iwepo ila Tanganyika ife?

    Yani hapa Ndo Kichwa kinazid kuuma maana kila kitu naonaga nyota nyota hii sasa ni hatari tuulize tulioenda zanzibar kufanya kazi tunakuwa kama wakimbizi
  3. DVJ

    Kwanini kijana wa kiume ukisema kuna hela naisikilizia huaminiki?

    Hii mie mara nyingi huwa inanikuta sana et
  4. DVJ

    Biashara

    biashara gan Sent using Jamii Forums mobile app
  5. DVJ

    Soudybrown Nimesikitishwa na hili.

    Ndo akili yake ilipoishia kuwaza na wandishi wetu wa sikuhiz Sent using Jamii Forums mobile app
  6. DVJ

    Wenzangu na mimi mnaotumia facebook hii Vikundi 99 au Group 99, inamaanisha nini?

    Yan unakuta kuna magroup mengine hujafungua magroup yanajitegemea noyification zake yenyew Sent using Jamii Forums mobile app
  7. DVJ

    112 haina kazi au usiku hawapokei?

    kweli iwe ka ukuryan
  8. DVJ

    112 haina kazi au usiku hawapokei?

    kweli sirudii
  9. DVJ

    112 haina kazi au usiku hawapokei?

    Usiku huu majira ya saa 1:35 hivi tumevamiwa nyumban kwa kuwa wezi walikuwa wanakomaa kuvunja gate nikapiga 112 jaman haipokelewi mpaka nikabid nipige 111 lakin bado ikawa ni tatizo mpaka tulipo piga kwa majiran ndo mmoja alikuwa na namba ya askari akawaita lakini hakutokea ila muda huo jiran...
  10. DVJ

    Daaah hizi Barbershop nyinyi kinadada mmetuweza

    kwa kwel huwa zinatesa sana nilijua ni mie tu
  11. DVJ

    Mimi haitatokea niandamane kwa akili za kuambiwa

    huko kunaitwa kushikiwa akili coz una andamana hata sio mwanachama and yy kuna kuwa na gar karibu polisi wakifika tu anapanda gar anasepa mnakula zenu rungu mida kwenye tv anasema tumepigwa kumbe hakuepo ww hospital humuoni hata mie ujinga huo cna
  12. DVJ

    Ma "house girl" ndo wanawake wa kuoa

    Oa maana hata zubeda wa Pro J alikuja hivyo alikuwa na heshima hadi wa kwenye Tv anawasalimia so chukua jiko
  13. DVJ

    Wasio na vitambulisho vya uraia kutoruhusiwa kumiliki simu

    inatakiwa walipitie upya
  14. DVJ

    Niligundua anamtu mwingine ila sasa anarudi kwangu

    Kausha hizo siku unajua amefanya mangapi huko hadi kurud and kipi kimemsibu huko tupa kule
Back
Top Bottom