Sijui ni umbumbu wangu wa kutojua sheria ama ni mtazamo wangu? .
Nionavyo mimi wanasiasa wanasikilizwa sana kuliko wananchi , mfano tumeona kesi ya Lissu inaonesha mashirika mbalimbali yamekuwa yakiifuatlia utasema huko gerezani nchinin Tanzania mfungwa ni mmoja peke yake?
Pia kuna wananchi na...
Lissu kuwekwa ndani ni project ya Mange na watu wake ili wapige pesa. Huoni wengine wameshaanza kujiita mwenyekiti wa chama wakati yeye ni mamakamu tu. Pia nasikia hela za chama toka kwa wadau mbalimbali zinawekwa kwenye akaunti ya makamu ili kukamilisha project na kufanya viongozi wengine...
Hao wanaowapigania wanapswa wawepo mstari wa mbele wa vita. Ila wao wako huko wamekaa tu kwenye sofa ama wapo kwenye biashara zao wakisubiri wateja waje wanawapumzikia Watanzaniankwa kuwachochea kufanya uasi mwishowe vifo kama mlivyo shuhudia 29 oct
Na ukiona mwana ccm anaungwa mkono na wapinzani nayo imekaaje?
Badilika tumia uwezo wako wa kupambanua mambo ili ujue kinachoendelea . Kitu muhimu chukua katiba ya chama chqko isome majuku ya viongozi wako na nani mwenye mamlaka ya kutoa tamka na lipaswa litekelezwe na wanachama. Kwa kufanya...
Inasemakana alikuwa antunzwa na Hilda Newton ni vizuri pia Hilda atoe maelezo ya kutosha huko Kebyaukute ni mpango wa kuuzana . Hilda ukute amepiga dili la fedha
Ndugu wapendwa! Nataka kusafirisha mizigo yangu toka Dar kuja songea lakini sijui ni kampuni zipi za usafirishaji zinahusika.
Mzigo ninaotaka kusafirisha ni freezer na sofa. Hivyo naomba mwenye kujua jina la kampuni inayotoa huduma hiyo pia na sehemu inapopatikana hiyo kampuni.
Nawasilisha...
Taarifa imeletwa kishabiki sana. Maelezo ya habari hii imepoteza umakini sababu imeandikwa kisiasa zaidi hivyo kuamini uhalisia wa taarifa yako unaleta mashaka.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.