Recent content by DUMIZI

  1. D

    Toka kwa muuza mihogo mpaka SGR

    Naamka asubuhi na mapema nikiwa na njaa. Nachemsha chai nakumbuka kitafunwa sina. Natoka barabarani namwona mama muuza mihogo. "Niuzie ya mia tano!" "Subiri kidogo, ndiyo kwanza nimeiweka motoni." Naamua kuketi juu ya jiwe kuisubiria. Moshi mseto wa vifuu na kuni za kuokoteza, unasambaa...
  2. D

    Huyu mkuu wa mkoa wa Ruvuma alipandishwa cheo kwa kufuata seniority au ni zawadi ili aendelee kulinda maslahi ya boss wake kwenye makaa ya mawe?

    Na bila shaka huyu RC ni Mzenji mwenzake. Hivi Zanzibar Kuna RC Mtanganyika kweli?
  3. D

    Vuvuzela ma simba wa ajabu

    Mzee Vuvuzela alikuwa maarufu sana kwa tabiri zake. Alikuwa kama kenge aliyebarikiwa uwezo wa kunusa hatari kabla haijamfikia. Aliwahi kutabiri kwa usahihi kuhusu uvamizi wa nzige, na akatoa mbinu madhubuti za kuwadhibiti. Watu walifuata ushauri wake, wakapuliza unga wa majivu, wakapanda mazao...
  4. D

    Ni kweli hatutamuona milele mdude nyagali mpaluka CHADEMA? Ni kweli Sauti yake wameizima milele?

    Nchi Haina sheria? Mahakama ni ya kazi gani kama Kila anayekuudhi unamuua? Unaongeleaje mzee kibao? Soka? Dogo alichoma picha ya rais? Utawala wa sheria umekoma rasmi?
  5. D

    PreGE2025 Au wote tuhamie chama tawala?

    Nachoka kuwaza. Sasa nimeanza kuona giza… giza nene. Sio la usiku. Hapana. Ni giza la maisha. Giza la matumaini yaliyooza kabla hayajachanua. Giza la haki iliyonyongwa hadharani huku waliopaswa kulia wakishangilia. Moyo wangu huwaka moto wa huzuni kila ninapotazama mwenendo wa siasa zetu. Moto...
  6. D

    Mti uliotoa machozi Dumila

    Usijali lazima iishe
  7. D

    Mti uliotoa machozi Dumila

    Kunywa tu hivyo hivyo ukiwa wa moto
  8. D

    Mti uliotoa machozi Dumila

    Kesho utaziona picha
  9. D

    Mti uliotoa machozi Dumila

    Hawanitishi
  10. D

    Mti uliotoa machozi Dumila

    Usibanduke
  11. D

    Mti uliotoa machozi Dumila

    Kesho mapema tu itaruka hewani
  12. D

    Mti uliotoa machozi Dumila

    Nimefuta
Back
Top Bottom