Recent content by dudus

  1. dudus

    Wananchi wa Cape Verde, wanapiga kura kumchagua rais mpya

    70 ijifunze kwa 0.7? I thought should be the other way.
  2. dudus

    Fadlu davis ameanza na ushindi na yanga

    Davids ni kocha!
  3. dudus

    Wananchi wa Cape Verde, wanapiga kura kumchagua rais mpya

    Cape Verde ni kanchi kadogo sana; less than 1m citizens. Kadogo mno. You know; Tanzania is the most populated country entirely in the Southern Hemisphere? Kutawala huu umati sio mchezo wandugu.
  4. dudus

    Watu kujenga garden inje ya mipaka ya Viwanja vyao ni kero ambayo Halmashauri zinatakiwa kuitokomeza haraka

    Mdau RRONDO hapo juu kasema hii tabia iko sana Masaki na Oysterbay Dar. Seems hiyo mitaa ni ya kimaskini sana.
  5. dudus

    Watu kujenga garden inje ya mipaka ya Viwanja vyao ni kero ambayo Halmashauri zinatakiwa kuitokomeza haraka

    Naam. Nina vijiwanja sehemu mbili tofauti very unfortunately nimepakana nao. Huwezi kuamini, majirani wengine sikuwahi kuwa na tatizo nao ila hao sasa!
  6. dudus

    Watu kujenga garden inje ya mipaka ya Viwanja vyao ni kero ambayo Halmashauri zinatakiwa kuitokomeza haraka

    Akina Nshomile ni mtihani sana linapokuja suala la mipaka.
  7. dudus

    House4Sale Unaweza kununua sehemu moja ya ghorofa

    Kwanini tuanze kutumiana namba privately ndugu dalali? Hiyo biashara ni ya siri? If yes, baki nayo. Otherwise, put the facts here kila mmoja ajipime na kuamua.
  8. dudus

    KERO Nachingwea Vijijini wafugaji wanalisha mifugo kwenye shamba, ukiwakataza wanakushambulia

    Sukuma na mang'ati iko Nachingwea ikiswaga mifugo? Loh! Watatumbukia Mozambique sasa.
  9. dudus

    Je, siku ukifa nani ataleta taarifa za kifo chako hapa JF 🤔

    Miezi 12 ikipita bila post let's assume the member is incapable, 24 months highly incapable, 36 months totally incapable.
  10. dudus

    Ninawasihi sana viongozi wetu wa CHADEMA kuzingatia sana suala la Dipolomasia ya Mazungumzo ya kisiasa kutatua suala la TUNDU LISSU

    Chadema wanadai hawajawahi kuhitaji maridhiano ya baada ya uchaguzi isipokuwa wamekuwa wakisikia invitations kwenye mikutano ya kisiasa, media, na mitandao ya kijamii. Wanauliza hayo maridhiano wanayoitiwa ni ya nini? Kuna nini kimetokea ambacho kinahitaji maridhiano? Kama hawaelewielewi hivi...
  11. dudus

    Licha kupiga mswaki bado kinywa kinatoa harufu, shida Nini?

    Sahihi. Baadhi ya watu particles za chakula hukwama kwenye koo. Pia, maradhi kama kisukari husababisha harufu mbaya mdomoni. How? Google.
  12. dudus

    Licha kupiga mswaki bado kinywa kinatoa harufu, shida Nini?

    Acha kudhalilisha watu. Kuna watu kwa maumbile yao particles za chakula zinakwama kwenye koromeo. Husababisha harufu mbaya ya kinywa.
  13. dudus

    PostGE2025 Kikao chao cha Maridhiano chaahirishwa kwa Muda usiojulikana

    Kingi kirahisi hivyo kaka? Mbona meza itapinduliwa juu chini just in the flip of the eye na hamtaamini? Sio rahisi hivyo. I think better take diplomatic channel kuliko kuwa rigid.
  14. dudus

    Most expensive schools in Tanzania

    Wacha uzushi wewe!
Back
Top Bottom