Nimeomba sana hiyo video mnitumie lakini hamtaki, baada ya kutafakari kwa kina sasa sitaki kabisa mnitumie hiyo video maana najiheshimu hayo mauchafu yenu yasije kunitia nyegge bure.
Kazini nenda sign then sepa wakikuhitaji watakupigia simu.. kama ni muoga nenda kazini ikifika saa tisa na nusu sign out sepa.. Nchi yenyewe rais mwenyewe ndo huyo kama maity... Utaumiza kichwa bure.
I'd yako ni kongwe mkuu halafu wewe ni platinum member.. nilitegemea nikuone kwenye majukwaa ya Sayansi na teknolojia,,kilimo na ufugaji,, uchumi na ajira....Haya majukwaa ya nyegge hayaendani na wewe mkuu 😅🤣😂
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.