Chumi za ulaya zilikuzwa na uporaji rasilimali za Africa na uarabuni. Saa hii kila mtu kaamka ,analinda rasilimali zake.Tutarajie ulaya kupitia mdororo
Ifike stage kupata rasilimali za mwenzio, fuata makubaliano yenye maslahi pande zote, siyo kama Congo
Mnachofurahisha JF ni watu kusema wasema walicheleweshwa na dini, ila hamuelezi nyie baada ya kuacha dini ,mmebadili kipi na kipi. Wengi bado mmekulia nyumba zao , malezi yaon.k
Historia inaonesha top 10 ya viongozi waliosababisha vifo vya halaika duniani hawakuwa waislam .Rejea ww1,ww2, stengerid(german vs rusia), mao, Rwanda genocide,burundi,congo etc,.
Chukua hii kwa faida
Akikujia mgonjwa wa kisukari akikwambia katumia dawa zote hajaona matokeo
Mwambie akapime
Cholesterol na uric acid
Kisha shughulika na hayo
Huku mpe mlo sahihi wa kula kulingana na shida yake
Kuna uhusiano mzuri tu wa kugoma kushuka sukari na Cholesterol na uric acid
⚫ Zipo sababu kuu 5 zinazoweza kusababisha mtu akaonekana kuwa na tumbo kubwa kama ifuatavyo;⤵️⤵️
1. 🔗 Tumbo kujaa gesi (Flatus). Watu wengi wamekuwa na matumbo makubwa wakidhani kwamba wana vitambi vinavyotokana na mafuta kumbe matumbo yao yamejaa gesi inayosababishwa na sababu mbalimbali...
⚫Kongosho, kiungo cha mwili ambacho kinapatikana sehemu za nyuma tumboni,huachilia homoni iitwayo insulin kuingia kwenye damu. Insulin huruhusu glukosi kutoka kwenye damu na kuingia kwenye seli(cells)fulani katika mwili,ambako hugeuzwa na kuwa nishati mwilini.
Tunatumia nishati(Nguvu) hii...
Wazee wetu waliamini kutafuta pesa ni kazi ya mwanaume na mkeo kulala. Wake zako 2, utapata wapi stress. Mkeo aende semina wiki na boss mikoani ,mwanume unapataje usingizi
Hatuna dawa hizo.huwa tunatoa ushauri
Mazoezi, kula vyakula asilia, acha kutazama pono au kushangaa wadada waliovaa vibaya njiani
Mwisho tafuta mmea wa mkandandogowe kuongeza kasi ya mzunguko wa damu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.