Salaam wakuu,
Nina mpango wa kuanzisha biashara ya kununua na kusambaza mafuta ya kupikia kwa jumla katika maeneo ya Tunduma na Sumbawanga.
Nina nia ya kuwekeza kwenye biashara hii, lakini sina uzoefu wa kutosha. Naomba kupata mwongozo kutoka kwa watu wenye uzoefu ili nijue namna sahihi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.