Recent content by Dr.Khamis

  1. D

    Mkurugenzi Mkuu Tanesco Ajiuzulu

    Ndugu umechambua vizuri sana swala hili la Dr. Rashid kujiuzulu TANESCO. Mimi naongezea tu. 1.Kwa nini serikali ya Tanzania na ile ya Zanzibar hazilipi madeni yake ya matumizi ya umeme? 2. Utaendeshaje TANESCO kiuchumi kama wale ambao wanatumia umeme hawalipi kila mwezi kwa ule umeme ambao...
  2. D

    CHADEMA flip flopping at its best! Jisomee mwenyewe uone

    Jambo la kusikitisha sana hapa ni kwamba kuna kamati kadhaa ambazo ziliundwa katika wakati mbali mbali ili kuchunguza swala la madini na mikataba yake. Sasa tujiulize: 1.Kamati hizi zote lazima zimetowa repoti zao. Hizo repoti ziko wapi? 2. Lazima kamati hizi zimetowa mapendekezo.Hayo...
  3. D

    Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

    Yaelekea Tume itatoa maoni yake hapo februari 2008.Lakini ingelikuwa ni jambo la maana pia kupata mawazo kutoka kwa watanznia wenyewe hapa nchini.
  4. D

    Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

    Mtu ukiwa ni kiongozi unatakiwa usipendelee dini yeyote kwani wewe ni kiongozi wa umma wote wa Watanzania. Dini zote hizi ni sawa na ndio kwa sababu hii nadhani mlimuona Rais J.Kikwete kenda Rome. Kitu kikubwa hapa ni kuwtaka hao viongozi wakiwa ni wa CCM au serikali waiongoze Tanzania ili...
  5. D

    Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

    Mzee Mwanakijiji Tanzania kuna Mashekhe wa aina mbali mbali na wengi wao wamesoma tu Qur'an lakini kwa bahati mbaya hawakusoma Biblia au Turat (Torah). 1.Ndoa kwa mfano imelezwa vizuri ni nani mtu aoe na ni wake wangapi. Vile vile talaka pia zimelezwa katika Qur'an na jinsi zinzvyotolewa. 2...
  6. D

    What Our Parliament Didn't want Us to Know

    Mwanakijiji first of all ask yourself just simple questions: 1.Why did the Government of Tanzania refused the publication of the final report of ICAO? 2. Who made that decision, the President (Mkapa), Foreign Minister (Kikwete or the Cabinet? We all know that BAE Systems that sold the...
  7. D

    Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

    Ndugu zangu Mahakama ya kadhi si sehemu ya Ibada.Ingawaje Mahakama ya kadhi itatumia sheria za Kiislamu itakuwa si ibada. Serikali hapa ingeliwakusanya wanasheria wa madhehebu mbali mabali ili waweze kutunga sheria ambazo zitawahusu Watanzania wa madhehebu yote. Dini ya Kiislamu, Kikisto na...
  8. D

    Haya ni Mapambano ya Kifikra!

    Ndugu Mwanakijiji waswahili wasema UKIPENDA CHONGO UTASEMA NI KENGEZA. Watu wanaweza kukwambi Khamis mke wako mbona ana chongo basi nani najibu, jamani hana chongo bali ana makengeza tu. Huyo Nyani mara nyingi HAIONI NGOKWE YAKE! Ahsante!
  9. D

    Buriani Amina Chifupa!

    Twamuombea kheri na Mungu amwasilishe mahali pema.Ni pengo kubwa kwa vijana na wapiganao na madawa ya kulevya Tanzania. Inna Lillahi Wainnaillayh Raajioun.
  10. D

    East African Federation (EAF) public Views

    Ndugu Mwapachu afafanua kuhusu Federation.Ni vizuri watu kuambiwa kinaga naga kwa vile serikali haisemi ukweli.Inaelekea tunacheza mchezo wa mwajificho. :::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::: Fast-tracking federation wrong idea-Mwapachu...
  11. D

    Sakata la Kashfa ya Richmond: The Facts

    Kamati hiyo inayoongozwa na ndugu Shelukindo ina uwezo mkubwa sana ambao kamati yenyewe haifahamu. Kwa hakika inaweza kumwita waziri yeyote ili kuhojiwa na pia kuchunguza mikataba yeyote ambayo serikali imefanya kwa manufaa ya nchi. Kamati inauwezo wa kumhoji hata Waziri Mkuu. Mzee Sitta hana...
  12. D

    East African Federation (EAF) public Views

    Something must be wrong in the UN list of developed countries .How can Somali, a country in chaos, with no government and engaged in war for almost 10 years, be more developed than Uganda, Tanzania and Zambia?. At the same time , the position of Rwanda and Mozambique is questionable.
  13. D

    East African Federation (EAF) public Views

    Wabunge wamecharuka! Go slow on federation, MPs caution 2007-04-22 10:45:29 By Juma Thomas, Dodoma Members of parliament yesterday rejected the idea of fast tracking the East African political federation citing disparities in administration, education,economy and security in the...
  14. D

    East African Federation (EAF) public Views

    Nakubaliana nawe kwamba huu ndio ule Ukoloni Mamboleo ambao tulihadharishwa sana na hayati Kwame Nkurumah, Rais wa kwanza wa Ghana. Ninyi ambao ni vijana sasa someni kitabu cha Dr.K.Nkurmah kuhusu NEO COLONIALISM.Nchi nyingi za EU za sasa hazina madini ya kutosha na nyingine hazima kabisa.Hii...
  15. D

    Sakata la Dr. Masau: Msimamo wa Serikali na Hatima ya Taasisi ya Moyo (THI)

    Waswahili tunasema ZIMWI LIKUJUALO HALIKULI LIKAKWISHA.Lakizi zimwi hili(serikali ya Tanzania) ambalo linamfahamu Prpf.Masua naona linammaliza! Hayo yanayomfika Prof.Masau yamewapata watanzania wengi wataalamu ambao walirudi nyumbani kwa moyo wa dhati wa “Kujenga Taifa”. Mimi mwenyewe...
Back
Top Bottom