Recent content by Dr Eagle

  1. D

    Hali ya kua na mawazo baada ya kufanya ngono

    Monogamy is unnatural.
  2. D

    Angalia vidole vya Mguuni vya ama mpenzi wako vikiwa kama nitakavyoelezea Furahi

    😁😁😁 Kadri unavyozidi kupanua, ndivyo wanavyozidi kutamani.
  3. D

    Msanii Besta yupo wapi?

    Halafu kuna ule wimbo mwingine, "Baby boy". Ilikuwa hatari sana.
  4. D

    Mahali wanakopatikana mbuzi kwa wingi

    Na bei yake ni nzuri pia, ila ajitahidi apate mwenyeji wa kumsaidia kwenye bargaining.
  5. D

    Daktari wa mifugo

    Hongereni sana wataalam.
  6. D

    Je Unajua? 🐔🥚 Mwanga unaathiri Sana Kuku Wa Mayai?

    Matumizi ya dawa za binadamu kwenye mifugo hayaruhusiwi kwa sababu, mabaki ya dawa za binadamu kwenye bidhaa za mifugo huhatarisha afya ya jamii.
  7. D

    Kero: Ufuatiliaji mdogo wa kampuni za Ujasiliamali( zenye mlengo wa kiMotivotional Speaker) unavyowaliza wakulima & wafugaji

    Wakulima na wafugaji walio wengi hupenda kusikia yale wanayopenda kusikia. Mathalani, wengi hufikiri kilimo na ufugaji ni njia ya mkato ya kutajirika. Kilimo na ufugaji huhitaji uwekezaji, kujitoa, bidii ya kazi na kutokata tamaa ili kuiendea njia ya mafanikio.
  8. D

    Ipe neno hii picha 😂😂😂😂

    AI kwenye ubora wake.
  9. D

    Ni jambo gani umefanikiwa kuliacha baada ya kupambana sana?

    Huwa najitahidi kuacha, lakini😁😁😁😁
Back
Top Bottom