Recent content by dr chris

  1. D

    Mwanafunzi toka mbeya aliepangwa galanos tuwasiliane

    mimi ni mzazi naomba yeyote ambae mtoto wake kapangiwa galanos au mtoto aliepangwa huko naomba niwasiliane ili ikiwezekana wasafiri pamoja na mwanangu.tumia no0715 097143
  2. D

    Mashoga wawili maongezi yao yalikuwa hivi

    hv kumbe utani na matusi ni k2 kimoja ee! nitamtafuta mzee au wazee wa ulimwengu wa kiswahili
  3. D

    Wanajeshi wapata ajali Zanzibar leo asubuhi

    polen mungu ni mwema atawaponya majeruhi.
  4. D

    Sekondari iliyotoa viongozi na watu mashuhuri wengi Tanzania

    sangu-hon.emanuel nchimbi -hon.joseph l.kabila prezda drc.
  5. D

    Fomu za kurudia mtihani Kidato cha Nne - Tsh. 10,000.

    mi pia nimesikia lakini kama ndvyo kwanini daraja o tu? kwani frusa hiyo ni mhm hata kwa wale wenye div.4 zisizo na viwango vya point nzr.kwenye tovut ya necta na moe sijaona tangazo hilo na kwa m2 mwenye kufikiri sana unaweza ukabaini kuwa leo ni tar.1-4-2013 CHUNGUZA KUNA MAADHIMISHO AU...
  6. D

    Ridhiwani yupo huku sasa!

    kusema hana lolote wakati chuo alienda na kuna baadhi ya wachangiaji wamekiri kuwa walikuwa pamoja chuoni licha ya ukilaza wake si alifika mwisho wa kozi yake? au ali disco.? kama alimaliza ni vizuri tumuhukumu kwa makosa halali na tusiendekeze shutuma na manunguniko.na tusimhukumu kwa makosa ya...
  7. D

    Tetesi za Matokeo ya NECTA kidato cha nne 2012 [Kabla Hayajatoka]

    acheni kuwapa presure vijana wetu huo ni mtizmo wako2 wala hujachungulia popote
  8. D

    Wekeni MALUMBANO YA HOJA ITV Msikie Habari za Muungano

    mkinga na mavazi ya magamba atarajie fadhira c ajabu ukasikia ameukwaa u-disii.na huyu dogo wa udsm amemgusa pabaya pole
  9. D

    Tangazo la HELSB lililenga kupoza joto la applicants na umma mzima tu na halikuwa genuine?

    bora wangesema tuko ha2a za mwisho badala ya kusema tuangalie web.yao
Back
Top Bottom