Recent content by Dot com

  1. D

    Waangalie hawa marafiki wanatia huruma

    Of course bothering!!!
  2. D

    Ipatie maneno picha hii: JK na rawlings

    Hata mimi huwa najiuliza sana mbona marais wa nchi nyingine huwa siwaoni walinzi wao kama huyu wa kwetu kila mahala anaonekana yuko kwenye sare hiyo ya kijani? Hebu naomba mnisaidie kuelewa diplomasia za nchi nyingine.
  3. D

    Tamko la Kamati Kuu ya Chadema: Jan 31 Jan, 2011

    Yes, Tamko hili linalipa. Ni kweli CCM acha waendelee na CUF.
  4. D

    BAKWATA na Mauaji Arusha

    Kusema Arusha kuna udini juu ya mgogoro uliopo ni kukosa mawazo chanya juu ya Utaifa
  5. D

    GE2010 Bendera Ya Chadema Yapepea Mlima Kilimanjaro,

    Ok, kunapokuwa na changamoto za kisiasa mambo mengi hujitokeza, hasa kunapoonekana kuna kundi la watu wengi limesahaulika.Mimi sishangai kuna mambo mengi yatazidi kutokea. Tusonge mbele!!!
  6. D

    Maandamano ya Januari, Tuvae Fulana za Dr. Slaa

    Inabidi kuvaa T-shirt za mtu anayeasisi hayo maandamano!!
  7. D

    T-shirt za dr slaa

    Ni wazo Zuri sana wengi watavaa na zitauzika pia
  8. D

    Maendeleo mapya: Mabadiliko ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Uzalendo

    Kama kweli katiba watanzania wanaitaka kwa nini serikali isiwape, kwani tatizo ni nini hasa la kutokubali katiba mpya kwa serikali?
  9. D

    Makamba kupewa ukuu wa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro?

    Mimi nafikiri angepumzika tu, asifanye kazi yeyote!!!
  10. D

    Sambwe Shitambala

    Wana Jf, CDM naomba kufahamu, Sambwe Shitambala alikubali kendelea kuwa M/kiti wa CDM Mbeya baada ya kuandikiwa barua na Dr. Slaa au kujiuzuru kwake kunaendelea?
  11. D

    Msemakweli;yuko tayari kuhamia chadema

    Yes, atulie kwanza kisha amalize shule ndipo aingie katika chama cha mapambano! Anahitaji kusoma alama za nyakati vizuri. Dogo, piga shule kwanza, ni ushauri wangu tu!
  12. D

    'Wapiganaji' walioko CCM wanapigania nini hasa?

    Watu hawa wana thibitisha usemi usemao "MGANGA HAJIGANGI" na Huwezi kumtukana mamba ukiwa ndani ya Maji.
  13. D

    Jk na uteuzi wa wabunge.

    Yes, hata mimi nataka kuelewa hapo tu. kwa nini useme mama mkwe? How comes?
  14. D

    Re: Hodi wana JmF

    Jamani hii nikutaka kujitambulisha kwamba mm ni new member. Asanteni kwa kunielewa
  15. D

    Kasheshe urambo

    Sitta asisingiziwe kwa lolote, kwani angewalazimisha watu kuchagua mtu wasiyemtaka? Hizo zitakuwa siasa nyepesi na za maji taka. Msiwe na hofu wazee, mabadiliko yanakuja kwa kishindo watake wasitake mzunguko wa CCm umeshakamilika ni lazima waachie nchi. Tusomeni nyakati.
Back
Top Bottom