Recent content by DonaldJr

  1. D

    Tafuta Msaada Wa Mungu Na Sio Wa Mwanadamu

    Ameeeen bless you brother [emoji419]
  2. D

    Maswali mtihani ya baadhi ya Wananchi

    Piga kazi mama.MUNGU AKUTANGULIE
  3. D

    TANZIA Mwalimu Paul Mpandiko wa shule ya Sekondari Dodoma auawa na watu wasiojulikana

    Daah Ticha langu hilo,Pole kwa Familia nzima alikuwa hana noma na mtu hadi uingie kwenye mifumo yake hautoamini.
  4. D

    Kwanini Mungu anakuzwa kuliko uwezo wake?

    Dua yangu,huo msimu unaopita uvuke salama,Pasi kujaribiwa kupita uwezavyo.Hasira ya MUNGU isije kukalia.
  5. D

    Natafuta Kazi

    Nichek kwa whatsapp 0745-880750
  6. D

    Ufugaji wa kuku wa kienyeji ni jambo linalowezekana

    Samahani naweza kupata mawasiliano yake nauhitaji wa mayai..
  7. D

    Miaka michache ijayo Tanzania itaenda kuwa na watu wenye msongo mkali wa mawazo kutokana na madeni

    [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kwanini mkoa wa singida mkuu?
  8. D

    Ukifikisha miaka 30 achana na salamu ya shikamoo, ni unafiki

    Mimi hiyo shikamo kwangu huwaga ni kama silaha binadamu si wanapendaga heshima….mj hata nikikutana na mtu kajichokoea naona kanizidi umri namtandika shikamo yake akiwa kaka shikamo braza sister,mama au baba kwani shingapi [emoji3][emoji3]basi wanaonaga rahaa wenyewee na binafsi huwa...
  9. D

    Msajili wa Jumuiya za Kiraia: Makundi ya WhatsApp kusajiliwa Kisheria kwa TZS 200,000/-

    Hakuna serikali duni kifikra kama Tanzania….ujinga mtupu kuendesha hata mradi wa daladala umewashinda wanachoweza kubuni vitu vya kipuuzi tu.
  10. D

    Angalia Jinsi Akili Bandia (AI) Inavyoanza kupumzisha Wachoraji wa katuni na Wengineo

    Kuna vitu watafanya ila kuna vitu wanashindwa hadi sasa kama ususi wa nywele
Back
Top Bottom