Recent content by don xxx

  1. D

    Bunge lasema halijapokea barua ya Nyalandu kujiuzulu, lamvua ubunge kutokana na CCM kumfukuza uanachama

    Elimu ,Elimu ,Elimu...Kwa mujibu wa sheria barua ikiwekwa tu /ikipostiwa tu kwa anuani sahihi ya mpelekewa mara hiyo hiyo inahesabika barua imeshamfikia mlengwa. Kuchelewa kwa messenger au mpokea barua kwenda posta kuchukua barua hakufanyi barua hiyo iwe haijamfikia mlengwa. Barua yoyote...
  2. D

    Rais Magufuli amemteua Profesa Florens Luoga kuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT)

    Bravo Prof. Makinyika Luoga. Mzee nadhani ndio mwisho wa kujipumzisha UDASA.
  3. D

    Tulitishwa kwamba eti Barrick ina vigogo wakubwa kutoka Marekani na Kanada

    Hivi $300m ni sawa na $190b nauliza tu ?
  4. D

    Acha kujipotosha na kujisifu, ukweli ni huu hapa

    Dear St. Michael pray for us
  5. D

    Jerry Muro: Utoto huu wa mbunge Nassari na Lema, Watanzania tuwe wakali. Tutapoteza taifa

    Hivi huo uzalendo unaosemwa na Jery ni upi huo? Huu wa kutafuta madaraka na kujipendekeza at the expense ya wengine au!!!!?
  6. D

    Nimempangia nyumba Ex wangu yeye na jamaa yake

    Umetenda vyema ,Mungu atakuongezea zaidi
  7. D

    NYARAKA: Wizara ya Madini iliidhinisha thamani ya Almasi ya Sh. Bilioni 14 kama thamani ya awali kusubiri mnada Ubelgiji

    Na bado. Tuombe Mungu aingilie kati ili hatma ya nchi yetu iwe salama
  8. D

    Katika kipindi hiki cha majonzi kutokana na tukio lililompata Lissu tunapaswa kuungana kwa pamoja

    Mungu mwingi wa rehema ameshasikia sala zetu. Tundu Lissu atakuwa sawa kabisa kwa nguvu na uwezo wa Yesu Kristu mwana wa Mungu aliye hai, anayetawala mbingu na nchi. Amina
  9. D

    Leo matukio yamenirudisha nyuma kidogo

    Mungu mbariki Tundu Lissu
  10. D

    Mmiliki wa gari ambalo Lissu alilitaja kwa kutumia plate number zake amewahi kulalamika?

    Akili ndogo utaijua tu. Sasa afungue kesi gani ? Kufuatiliwa na gari? Sio kila uzi unatakiwa kuujibu hata kama umekukwaza basi pinga kwa hoja zenye mashiko.
Back
Top Bottom