Haya maswali ni kila mtanzania ajiulize, mimi huwa najiuliza sana na majibu yake huwa sipati... Swali lingine ni hili hivi hao wanaCCM haswa wabunge wao wanapoyafanya haya haswa ya kuipitisha miswada isiyokuwa na mbele wala nyuma(mingine imerudi na kuwatenda) wanapitisha kwa kuikomoa CHADEMA na...
Sasa basi ikiwa wewe ni mteja wa saluni fulani halafu unaweka uso wa mbuzi yaani huchekichecki nao wale wadada na pia mambo ya scrub huyaendekezi (yaani we ni kunyoa na kuosha tu) wanamaindi hao. wanakuona mshaaaaaamba kishenzi ....
Mapenzi ya kiafrika nakataa kuwa si ya kuangushana banaaaa
Uliza uzaramuni na kule kwa kina kabaka, kagame wana tricks za asili kabisa kama kuchuncha, katerero, etc
Mheshimiwa Mnyika
hongera sana kwa ushindi huu sisi wananchi tunatarajia uadilifu na maslahi ya taifa kwanza kutoka kwako. Hongera sana.
Mungu akubariki na atubariki watanzania tuwe na utayari wa mabadiliko ....
Bwana Kinabo
Kila la kheri, lakini una mtihani mkubwa mbele yako. Pamoja na shutuma za Mramba yeye bado ana nafasi kule maana ana network ya watu wengi wakiwemo wa Dar ambao ndio huwa wanasupport wagombea. Pia una wakati mgumu wa kuwahamasisha wanarombo hasa ukuzingatia Mramba alivyokomaa...
Wandugu
kujua financial status ya mwenzi wako ni muhimu pia as ufahamu uhalisia wa maisha yenu na ili mjipange vyema katika hilo. Kumbuka mimi kwa fikra zangu ni kwamba maisha ya ndoa mnayotaka kuyaanza ni yenu wote and whatever burden itakayokuwepo eventually itakuwa yenu wote...
Haika nakubaliana na wewe kabisa.
Hawa Yanga na Simba wamedominate katika soka la Tanzania, na kwa kiasi kikubwa ndio wanalirudisha nyuma hili soka letu. Adhabu kwa Yanga ni fundisho kwa Simba kwamba nao wakifanya upuuzi kama huo hamna kubebana tena.
Kama ni amri yangu wale watoto wa copa...
WanaJF
Hiki ni kitu ambacho hakijatokea katika mazishi ya viongozi wa nchi hii-wananchi kutaka uchunguzi zaidi kwa mwakilishi wao. huenda ndio maana TBC wamekipa umuhimu.
Hichi kifo cha wangwe kina utata mno, nawasifu ndugu wa marehemu kutaka uchunguzi zaidi, hili ni fundisho na mwanzo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.