Recent content by Dogoli kinyamkela

  1. Dogoli kinyamkela

    SISHAURIWI NA WA BIBI KUANZIA LEO 🙌🙌😭

    SISHAURIWI NA WA BIBI KUANZIA LEO 🙌🙌😭
  2. Dogoli kinyamkela

    ⚠️ANGALIZO. Sio kila Sehemu yenye jiwe ama Gogo Unaenda kukaa tu bila ukaguzi LITAKUKUTA jambo zito.

    ⚠️ANGALIZO. Sio kila Sehemu yenye jiwe ama Gogo Unaenda kukaa tu bila ukaguzi LITAKUKUTA jambo zito.
  3. Dogoli kinyamkela

    Nilisafiri kutoka jimbo langu mpaka jimbo la mpenzi wangu kwenda kuwaambia wazazi wake kuwa niko tayari kulipa mahari ya binti yao.

    Nilisafiri kutoka jimbo langu mpaka jimbo la mpenzi wangu kwenda kuwaambia wazazi wake kuwa niko tayari kulipa mahari ya binti yao. Baada ya mazungumzo mafupi na wazazi wake, kulingana na utamaduni wao, mwanaume yeyote anayetaka kuoa kutoka kwao lazima afanye kazi ya shamba kwa mwezi mmoja mzima...
  4. Dogoli kinyamkela

    Uache mwiko ndani Juhudi za kuzungusha mwiko zinachangia kuiva kwa ugali...hata hivyo namna ta kuuzungusha huharakisha ugali wako kuiva. Usiharakis

    Uache mwiko ndani Juhudi za kuzungusha mwiko zinachangia kuiva kwa ugali...hata hivyo namna ta kuuzungusha huharakisha ugali wako kuiva. Usiharakishe kuutoa mwiko kabla ugali haujaiva... Mwiko ni mwiko tu kikubwa mpishi na MAPISHI yake.
  5. Dogoli kinyamkela

    Mda kuroga huu unalalaje kizembe

    Siku izi tunasajiriwa na serikal ivyo tunafanya kaz popote na nchi YOYOTE tunafanya kaz
  6. Dogoli kinyamkela

    Mda kuroga huu unalalaje kizembe

    Faida kubwa n kusaidia watu kutoka kwenye mikono ya watu wenye hila na hasdi, faida ingine kupata baraka kwa ulie msaidia, kupata baraka kutoka kwenye Asili na Mungu mwenyewe Alie toa hii karma kwako
  7. Dogoli kinyamkela

    Mda kuroga huu unalalaje kizembe

    Sasa unatukana alafu ujui, asie jua mana na akaleta ujuaji usimpe mana
Back
Top Bottom