Recent content by Dkt. Gwajima D

  1. Dkt. Gwajima D

    Hivi ustawi wa jamii ni kutetea wanawake hata wanapokosea, au ni kusimamia haki za kila upande?

    Ahsante sana kwa elimu na ufafanuzi fasaha. Pongezi.
  2. Dkt. Gwajima D

    Hivi ustawi wa jamii ni kutetea wanawake hata wanapokosea, au ni kusimamia haki za kila upande?

    Mimi siyo hakimu mbona, halafu dawati la jinsia mbona liko wizara ya mambo ya ndani sasa. Usiku mwema
  3. Dkt. Gwajima D

    DOKEZO Barua ya wazi kwa Waziri Gwajima "Ombi la msaada kuhusu haki za Wafanyakazi Salam Restaurant, Masaki"

    Pole sana. Copy andiko lako nitumie kwenda namba 0765345777 nitakuunganisha na Waziri wa Kazi, Ajira na Mahusiano ambaye yupo Ofisi ya Waziri Mkuu kwa hatua zake.
  4. Dkt. Gwajima D

    Je, Mashoga walilipia kibali cha Sherehe?

    Sawa, ingia 0765 345 777 andika cocastic, shida sasa wakikuwahi wengine watajifanya ni wao. Naingia PM nakupa code utaandika tafadhali. Shukrani
  5. Dkt. Gwajima D

    Je, Mashoga walilipia kibali cha Sherehe?

    Sawa, karibu sms 0765 345 777 sema sly jf
  6. Dkt. Gwajima D

    Je, Mashoga walilipia kibali cha Sherehe?

    Marahaba, ahsante, ni kweli kasi inakuwa ndogo maana wote wanatuma moja kwa moja bila rufaa mwenzenu nazidiwa. Nitajibu tu ila Ujue tuna vituo vya huduma pia
  7. Dkt. Gwajima D

    Je, Mashoga walilipia kibali cha Sherehe?

    Soma sura ya 4 jua hoja gani ufikishe wapi vinginevyo mkakati ungekuwa wa wizara moja. Lengo langu ilikuwa uelewe tu kuwa, ukiona siku ingine napita kama naaga maiti basi ujue yuko wa kusema msubiri. Aidha, huyo mtoto mc ustawi wa jamii Dar walienda hadi kwao na ripoti ninayo, kama umeona video...
  8. Dkt. Gwajima D

    Je, Mashoga walilipia kibali cha Sherehe?

    Mandate ipi sasa ndugu yangu mpendwa zaidi ya kutoa elimu? Kwani iwapo mtu wa Serikali ya mtaa mfano katoa kibali kisichotakiwa anatakiwa kuchukuliwa hatua na mimi au mwajiri wake wa wizara husika rafiki? Haya, iwapo hao walioonekana kwenye video hiyo imethibitika walikuwa hawana kibali na hilo...
  9. Dkt. Gwajima D

    Je, Mashoga walilipia kibali cha Sherehe?

    Ahsante kwa maoni chanya, nitafanyia kazi. Hawa wanaotaka nitoe tamko kwenye hili sitatoa, kwa mujibu wa mkakati wetu iko mamlaka ambayo kwenye hili inawajibika ikikamilisha utaratibu itatoa. Ahsante sana.
  10. Dkt. Gwajima D

    Je, Mashoga walilipia kibali cha Sherehe?

    Mkakati siyo wa wizara ni Serikali yote taifa lote ukiwemo na wewe, jana Ig na Fb nimeelekeza uliko mkakati online, ingia Google andika MKAKATI WA TAIFA WA KUKABILIANA NA MMOMONYOKO WA MAADILI 2026/27 - 2036/37 Utaona una jalada la bluu, nenda sura ya 4 kasome jedwali la mchanganuo wa wadau...
  11. Dkt. Gwajima D

    Je, Mashoga walilipia kibali cha Sherehe?

    Ahsante sana. Maoni yako ya umuhimu wa kukutana na jamii kusikiliza kisa cha hatma zao kwa nini siyo njema na wanasaidikaje ni ya msingi. Na hili ndiyo jukumu la msingi la wizara hii. Kinachoshangaza ni baadhi ya watoa maoni kujifanya hawajui mipaka ya kila wizara na kutaka kuniyumbisha nitoke...
  12. Dkt. Gwajima D

    Je, Mashoga walilipia kibali cha Sherehe?

    Nazipita kwa sababu nimeshagundua kuwa, huwa mnajua vema wapi mnaweza kuuliza jambo gani ila mnaacha mnakuja kwangu na hayo ni matumizi mabaya ya mimi. Mnajua vema vibali vyote vya shughuli za kijamii ikiwemo harusi, ubatizo, maulid nk huwa mnachukua kwenye mamlaka za serikali za mitaa na...
  13. Dkt. Gwajima D

    HOJA Kwa utovu mkubwa wa nidhamu ulioonyeshwa na baadhi ya wahitimu wa form four. Je, ni wakati serikali ikarudisha viboko mashuleni?

    Viboko havijafutwa ila kuna mwongozo wa kutoa hivyo viboko na adhabu zingine mbalimbali. Kinachokatazwa ni kupiga mtoto nje ya huo mwongozo jambo ambalo linaweza kusababisha hatari kwenye afya ya mtoto.
  14. Dkt. Gwajima D

    Tupe maoni, ushauri, dokezo: Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Wenye Makundi Maalum

    Naweza kupata taarifa za hao wala rushwa kuja sms 0765 345 777. Maana TAKUKURU wapo ila hamshtaki. Tushirikiane tafadhali
Back
Top Bottom