good move kwa wasanii, ila sio zitto aliyefichua hii issue ni Citizen magazine na zitto alidandia tu hoja kama kawaida yake, wasanii wanaibiwa na watu wengine simo makampuni ya simu, hii mada imepotoshwa sana by the way nawasikitikia sana wasanii maana wanaruka mkojo wanaenda kukanyaga mavi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.