Recent content by Diz26

  1. D

    Nikaribisheni kwa kunipa kazi

    Nenda mahakama ya buguruni kugongewa muhuri 5000 vyote
  2. D

    Kupangiwa usaili wa mchujo na mahojiano

    Ukishafanya written ndio itatoa majibu kama utafanya oral au laah
  3. D

    Mwanamke wangu ananiomba sana hela. Kwa hali hii nakimbia mbio ndefu sana niwaachie pasi wengine

    Mm pia natumia hiyo nauli kwahiyo usiseme kazi gn it depends unakaa wapi unakuta mtu unapanda bajaji mbili mpaka kufika job but alichozingua dada mwenzetu ni kuomba nauli ya kazini wakati hua inakua kwenye budget ya mshahara
  4. D

    Natarajia kupata mtoto nje ya mke wangu

    kwa hizo sms 😀😀😀😀😃😃kuna kitu hakiko sawa ww ndio unajiita baba kijacho bila kuambiwa😀😀😃
  5. D

    Mwanamke wastani wa miaka 25 hadi 29 bado ni Bikira

    Inawezekana watu hawafanani kuna waliotoa na miaka 10 na wapo waliotoa kwenye ndoa zao na miaka 25+usikariri WADA wengine wana msimamo.
  6. D

    Azam TV badilisheni muda wa kuonesha Tamthilia ya ECILIA (SINOS DEJAN)

    Na wameandika kuanzia miaka 13 unajua una mtoto hajafikisha hivyo toa
  7. D

    Azam TV badilisheni muda wa kuonesha Tamthilia ya ECILIA (SINOS DEJAN)

    Kwani lazima muangalie kuna channel nyingine kama sinema zetu,cheka plus na nyingine angalieni tuacheni sisi tuangalie muda huo😀😀
  8. D

    Nimepata Tsh. Milioni 1.3, naomba ushauri wa aina ya biashara ninayoweza kufanya

    Duka la nafaka, mfano umeagiza nafaka kilo 100 ukija kupiga hesabu unapima ulipo unajua uliouzw ani kiasi flani na bei kiasi flani na hata mafuta lita zinajulikana inshort vitu vya duka la mangi vinakuja kwa idadi na control ni rahisi hata kama hayupo
  9. D

    Nimepata Tsh. Milioni 1.3, naomba ushauri wa aina ya biashara ninayoweza kufanya

    Duka la mangi hata kama ukimuweka mtu kuibiwa utajua tofauti na hizo biashara nyingine
  10. D

    Naombeni msaada kutengeneza akaunti ya ARIS naulizwa registration number

    Huwezi weka ya kwenye mitihani maana hujafanya mtihani wowote wa chuo hapo unaweka namba iliyoko kwenye admission letter hlf unatengeneza password unaingia kufanya malipo na vingine vinavyohitajika
  11. D

    EX wa Dkt. Mwaka azidi kuwaacha watu midomo wazi

    Hilo ni tangazo tu .
Back
Top Bottom