Recent content by division 5

  1. division 5

    Kwani Zanzibar wanawachukuliaje watu wa Bara?

    kwaresma ilipoanza,je ilikua ni kosa kula hadharani au ni wakati wa ramadhan ndo kosa kufanya hivyo!?
  2. division 5

    Kwani Zanzibar wanawachukuliaje watu wa Bara?

    kwaresma ilipoanza,je ilikua ni kosa kula hadharani au ni wakati wa ramadhan ndo kosa kufanya hivyo!?
  3. division 5

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    mase ft the lox and dmx -24 hrs to live
  4. division 5

    Msaada wa app au jinsi ya kudownload latest movies

    Download app inaitwa on "Onstream" ipo ya android na pia kuna unayoweza tumia kwenye PC
  5. division 5

    Msaada wa jinsi ya kudownload movie

    Download app inaitwa on "Onstream" ipo ya android na pia kuna unayoweza tumia kwenye PC
  6. division 5

    Muda ndio umemchagua Benzema aonekane Straika Bora mbele ya Luis Suarez lakini takwimu zinamkataa

    Mataji mbona hata Giroud anayo na hakua/sio bora sana Suarez alikua habari nyingine
  7. division 5

    Umewahi angalia movie na kutamani "Adui" ashinde?

    Move Title: Inside Man Starring: Denzil Washngton Villain: Clive Owen Nlitamani adui ashinde na ikawa hivyo
  8. division 5

    Orodha ya wasanii wenye majina makubwa lakini kiuhalisia hawana vipaji

    Nembo ya taifa bongo records ingetumika, Watoto wadogo lazima mic wajue kushika, Lakini yote hiyo ni kama
  9. division 5

    Orodha ya wasanii wenye majina makubwa lakini kiuhalisia hawana vipaji

    Baadhi ya mistari "Cheza cheza kwenye dancing flow, Wala usijali kuitwa bishoo, Kata kata ngoma za kisasa, Kibao ni chako sio cha kuazima Maneno mengine nimeyasahau ilikua zamani sana
  10. division 5

    Enzi zetu haikuitajika Peugeot, Nissan Wala Datsun ila ukiwa na Phoenix, Swala, frying pegeou au Raleigh unang'oa walimbwende na ndoa zilidumu sana

    Pia kuna ile kama unatoka usiku,unainua tairi ya nyuma kwa stand kisha unaweka dynamo kwenye tairi na kuzungusha pedal kuangalia mwanga unaotoka kwenye taa na kurekebisha switch ya taa, baada ya hapo full kuzurula usiku
Back
Top Bottom